Q chief – Papa God Lyrics

Q chief – Papa God Official Video Lyrics, Letra QChief

Sweet afro banger
Yogo
Awhaaa

[Verse: 1]

A man will fall to stand again
A man will fall to stand again Waliniandama wafitina wakanisakama Wakiamini nitakata tamaa ni wabaya Walimwengu waa ni wabayaa
Mungu wangu kaniepusha na wachanja chale
Kina Rajabu Nasibu na wa Moro Tale
Mafanikio yako karibu na still unakosa na ndugu
Wakiskia umepata na kazi wanaomba utoke patupu
Binadamu sio wabaya pesa ndo chanzo
Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo [chorus ]
Papa God Papa God through maombi you change my life Papa God Papa God through maombi you change my life
Papa God Papa God through maombi you change my life Papa God Papa God through maombi you change my life

[verse : 2]

Roho mbaya matatizo Mungu akipanga imo
Anakupa kwa marengo,anakupa kwa marengo
Hujui muda wala saa tunaishi kwa ridhaa
Nashukuru Mungu kwa subira kwa subira
Kibunda kibunda kikiingia sikaribishi maneno
Nasaka pesa na nguvu zangu staki chawa na hayo mapepo Binadamu sio wabaya pesa ndo chanzo
Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo Binadam sio wabaya pesa ndo chanzo
Ukizikosa shida ukizipata raha zinakutolea mawazo

[Chorus ]

Papa God Papa God through maombi you change my life Papa God Papa God through maombi you change my life Papa God Papa God through maombi you change my life Papa God Papa God through maombi you change my life Kibunda kibunda kikiingia sikaribishi maneno
Nasaka pesa na nguvu zangu staki chawa na hayo mapepo
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

Deixe um comentário

O seu endereço de e-mail não será publicado. Campos obrigatórios são marcados com *