B2K feat Vanillah – LaLa Lyrics

B2K feat Vanillah – LaLa ( Lyrics ) Letra B2K Mnyama B2K feat Vanillah – LaLa ( Lyrics )
Mara tu ukinisogelea
Ukinigusa ukinikumbatia
Kwangu naona zawadi
Story za mapenzi wakiniletea
Naona wazushi wanazingua
Mbona sisi tuko good?

Hawajui unavyonipendelea
Waninyonyesha huku nimekua
Upendo umezidi
Mpaka unikumbate ndo unaongea
Nikiwa mbali baby hujazoea
Au unafanya kusudi?

Kuna wao alafu kuna sisi
Kuna wewe alafu kuna mimi
Tulianza kama utani na…
Saivi tunaenjoy love oh

Mchana kweupe hatujifichi
Nipe nikupe yani mambo fiti
Tulianza kama utani na…
Saivi tunaenjoy love

Lala lalalaa
La lalalaaaa
Lala lala
La lalalaaaa

(Uyeeee Aaah…ooh Aaah)
Na ikiwa mapenzi sumu
Basi we ndo utaniua
Wanadamu wakitaka nihukumu
Naomba simama kunitetea

Maana sio mwilini tu uh
Mpaka moyoni unanijua
Uwezo wa mabody guard sina
Mi mnyonge ntakulinda na dua eeeh

Usoni, moyoni
Nimejawa na furaha
Na macho ila sioni
Wa kuninyima raha

Mpaka sasa tunavyojipenda hadi raha
Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha
Mpaka sasa tunavyojipenda hadi raha
Mpaka sasa unavyonipenda hadi rah

Lala lalaa, la lalalaaaa
Lala lalaa, la lalalaaaa
Nakupenda leo kesho mpaka kufa baby
Lala lalaa, la lalalaaaa
Mmmmh I love you
Lala lala lalaa I love you

(Mafeeling Make It)
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

Deixe um comentário

O seu endereço de e-mail não será publicado. Campos obrigatórios são marcados com *