Home / International / Alikiba – Mshumaa

Alikiba – Mshumaa

Mshumaa – Alikiba Lyrics, Letra:

Ule ugonjwa uliacha nao
Bado sijapona 
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote 
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako 
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…iye iye

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Killy – GUBU ft Alikiba
Killy - GUBU ft Alikiba Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - ...
ALIKIBA – Mwambie Sina ft. Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy
Mwambie Sina - ALIKIBA ft. Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy Lyrics, Letra: Nafsi inalalama sina mwambiee Kila akinitazama kwa kina kiukweli Mwambiee silali tena ananipa tabuu Kwake ...
Alikiba – mtoto wa kiafrika ft Kingzilla
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Timaya – number one ft Alikiba
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Alikiba – Hela
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Alikiba – Mbio
Lyrics, Letra: Mbio - Alikiba Aaah...(yeap) Aaah aaah yeah Oooh yeah... Oooh yeah aaah Morning morning  Young morning girl, ah zaliawa Ali billionaire wa malavi oooh ooh Bila we ...
Alikiba – Play Boy ft Nandy
Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> letra ...
Alikiba – I Miss You
I Miss You - Alikiba Lyrics, Letra: (Instrumental) Turu turu turu tu, she said she will be here on time, alright. You said you will be here on ...
Alikiba – Kadogo
Kadogo - Alikiba Lyrics, Letra: yoooh 001 (aaah aaah ah…) iyo iyo iyo yeah…. kadogo kanapenda keroro keroro keroro kadogo kanapenda keroro kembamba kadogo kanapenda keroro nikamuuliza, anatoka 254 Mombasa kwa wanjanja janja ananikosha roho she must ...

Deixe uma resposta

Esse site utiliza o Akismet para reduzir spam. Aprenda como seus dados de comentários são processados.

%d blogueiros gostam disto: