Ben Pol – Why ft. Harmonize

Why – Ben Pol ft. Harmonize Lyrics, Letra:
Ndugu zangu napata malipo ya usariti
Yakupendwa lakini nikawa sipendeki
Sikujua machungu makali kiasi hiki
Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki
Whoaaa amenifanya nawaza
Wangapi niliowatenda
Kila nikikumbuka, najiona mshamba
Nguvu zinaniisha, siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha, nastahili hayaa
Nguvu zinaniisha, siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha, nastahili hayaa
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Silali silali silali (fofofoo)
Silali silali silali (fofofoo)
Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah)
Nyingi zinajirudia (aaaaah)
Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)
Mmmmh Malipo ni duniani
Ahela kuhesabiwaa
Me nipo bado rehanii
Nimejitela mwana mkiwaa eeh
Mmmh Zile heshima kuninyenyekea
Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)
Eti mazima nikampotezea
Nilivyo maliza tu shida zangu (Hahaaa)
Ukimuona mwambieni najiuguza najutia
Tena najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi yasiyo na hatia
Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh)
Upweke najiinamia
Nishatubu nisameehe
Why why why why why oooh
Najiuliza kwa nini
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Aaah mwenzenu silali
Silali (eeh) silali (eeh) silali (fofofoo)
Silali (eeh)silali (eeh) silali (fofofoo)
Ona hayaniishi mawazo (heheeeh)
Penzi lake ndo chanzo(aaaaaah)
Mmmh
Haaaaaah…
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa
Sheddy Clever on the beat

Harmonize – Paranawe ft. Rayvanny
Paranawe - Harmonize ft. Rayvanny Lyrics, Letra: (VERSE 1: HARMONIZE} Kwenye darkness Kwenye Candle Professional wa ku handle The way you take me to the angle Wewe ni human being ...
Harmonize – Tepete ft. Kizz Daniel
Tepete - Harmonize ft. Kizz Daniel Lyrics, Letra: Mtoto wa gerezani Kariakoo If you need my money carry go Mtoto wa gerezani kariakoo (Chorus; Harmonize}: Aah baby hold on, Nimeshalowa ...
Queen Darleen X Harmonize – Mbali
Queen Darleen X Harmonize - Mbali Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com [gdfrm_form ...
Marina – Love You ft Harmonize
Love You - Marina ft Harmonize Lyrics, Letra: Kode boy, na  badgal Marina The mane on the top Made Beat on the beat I say bad gal me I ...
Harmonize – Need You ft. Wizkid
Harmonize - Need You ft. Wizkid Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - ...
Harmonize – Kushoto Kulia
Kushoto Kulia - Harmonize Lyrics, Letra: Kushoto kulia Kushoto Kulia (Jeshi) Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for ...
Harmonize – Nyingine Tena ft. Dully Sykes
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Harmonize – Uno
Uno - Harmonize Lyrics, Letra: Konde Boy Uno(Yii), everybody say uno Nasema uno, everybody say uno Uno likiteguka huwezi kutembea Masai ruka ruka analinyenyekea Chumbani kwenye shuka ...
Ben Pol – Sikukuu
Sikukuu - Ben Pol Lyrics, Letra: Sikukuu imefika eeh Mwaka mpya unafika eeeh Upite salama baba eeh Sote sote tuwe salama  Baba ooh mwana ma Christmas imefika eeh Mwaka ...
Harmonize – Thrilling The Crowd
https://www.youtube.com/watch?v=XkHQODCPnyM Harmonize - Thrilling The Crowd Lyrics, Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing ...
Harmonize x Rayvanny – Paranawe
Paranawe - Harmonize x Rayvanny Lyrics, Letra: (VERSE 1: HARMONIZE} Kwenye darkness Kwenye Candle Professional wa ku handle The way you take me to the angle Wewe ni human being ama ...
Dully Sykes – Kadamshi ft. Harmonize
Kadamshi - Dully Sykes ft. Harmonize Lyrics, Letra: Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Singida dodoma mma mma mma mma mma Mtwara na ...
Harmonize – Hujanikomoa
Harmonize - Hujanikomoa Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - Letra lyrics ...
Marina ft Harmonize – Love You
Love You - Marina ft Harmonize Lyrics, Letra: Kode boy, na  badgal Marina The mane on the top Made Beat on the beat I say bad gal me I ...
%d blogueiros gostam disto: