BREEDER LW – Missed Call

Missed Call – BREEDER LW Lyrics Letra:
Chorus

Si uongo napenda wasichana,
Niko lodgo na bibi ni wa Allan,
Ju ni morio after this ni lawama,
Na sitakima missed call bana,

Ntazima simu ndio asipige pige sana,
Ntazima simu ndio asipige pige sana,
Na sitaki ma missed call bana,
ntazima simu ndio asipige pige sana,

Verse 1
Simu flight mode, siko,
Patana na msupa hapo kwa inbox
Ashasema ati Fadhela si tu link up,
Nayo nayo nikamsho io ni simple,
Next day hizo ma vida asha repost
Hapo hapo kwa Edgar Obare ndio ziko,
Ndio maana chali yake ako pissed off,
Na Mechi ilishaanza kabla kick off
Lakini buuudaa, please note,
Huyu msupa alinimada na mastingo,
Alinivua trao ,boxer na ma reebooks,
Nashindwa ni uchawi ama alizaliwa ivo,
Hah!!
Hii Nairobi chunga bibi,
Kuna ma fisi, ma gyallis ma gwiji,
Na ukitokwa usiingize baridi,
Ni kawaida ni tabia za jiji,

Chorus
Si uongo napenda wasichana,
Niko lodgo na bibi ni wa Allan,
Ju ni morio after this ni lawama,
Na sitakima missed call bana,

Ntazima simu ndio asipige pige sana,
Ntazima simu ndio asipige pige sana,
Na sitaki ma missed call bana,
ntazima simu ndio asipige pige sana,
Ntazima simu ndio asipige pige sana,
Ntazima simu ndio asipige pige sana,
Na sitaki ma missed call bana,
ntazima simu ndio asipige pige sana

Verse 2
Sijaijua kumbe Allano ni FBI,
Ameni ambush ,ki ghafla nisi try hide,
Lakini nishapanda mbegu sa in case I die,
Me ni Bazenga daddii Ntago down in style,
Maswali mob,
Ati Breeder mbona umezima line,
Na uko hapa lodgo unanilimia wife,
Me siamini ati we ni morio wa mine,
Na leo ni leo na hautoki hapa alive,
Natetemeka mbele ya itoka unaeza zirai, aii,
Na siezi fly ,saa hii kwa hii scene ya crime,aii,
Ashai ki cock ,ashanipiga na bye bye,
Wife yake ni manduru aki wika gai gai,
After trigger kuipresss ,Ndeng’a ikajam,
Me ni nani hapo kwa window, si nika jump,
Mguu niponye ,natoka siaka me niki run,
Mungu asanti acha leo me nika some psalms,

Chorus

%d blogueiros gostam disto: