BREEDER LW – ONE AND ONLY Lyrics Letra:
One and only bazenga daddy mmh
(Pari Pari)
Yoh ka ni wangu namwaga hadi ndani
Tupendane mapenzi ya dhati
Ka ni flow niko nazo ka thirty
All I know is that am blessed si lucky
Ni kalesser sipandagi taxi
Si ni wale hu-stand out kwa umati
Kwa maroro mia kuwa Messi
Na ukikaribia si ni kesi
Sana sana ka we ni mrazi
ALl white na si bado una dhambi
Deni ndogo haifuatwi na gari
Nilifunzwa kuskizanga nafsi
Si nitafanya utahema you gasping
Me nagwaya pongi na risasi
Zote mbili hazinaga hadi vaccine
Na kuomoka haitakangi lapsing
Hii ni era yangu kuwa rap king
Weka tubido nikama napkin
Hii kipaji intakanga practice
Iende chain izunguke kwa axis
Magizani si huchomeanga back seat
Tangu ryma mi huketingi back seat
FYI mi ni wordsmith
Best rapper in the country
Ka unapinga si ukulange mafi
Handsome bado ugly
Lakini bado mi ni gialis
Hapa sheng si kilami
—
—