Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide – Waah!

Waah! – Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide Lyrics Letra:
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!

Kaghamu kupendwa na
Kaghamu nasikia
Tamu kupendwa nawe
Tamu kupendwa nawe, tamu
Tamu kupendwa nawe

Oh maneno maneno, tumeyazoea
Vijineno neno, tushazoea
Wapenzi wangu ku-party
Kwani ninawahusu

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu
Udangaji umalaya, wao inawahusu nini
Wamegusa pabaya na mwaka huu
Lazima wachuchumae

Wameingia cha kike
Cha kike
Wameingia cha kike
Cha cha kike

Wameingia cha kike
Cha kike
Wameingia cha kike
Cha cha kike

Aah Bakokote Babu Tale
Don Mendez, Ba Junior 

Chumbani Hennessy
Hunipatia panadol
Kuchenga za Messi
Na mashuti ya Ronaldo

Yaani ndani nikiingia tu
Anachukua anaweka Waah!
Ah kwenye gari
Anachukua anaweka Waah!

Iwe jikoni ama varandani
Anachukua anaweka Waah!
Doze doze, doze doze
Anachukua anaweka Waah!

Yaani baadae salama joto
Toa leso nipepepee
Oya kombo joto
Toa leso nipepepee

Oya mzee kunami, jipepee
Oh Ricardo Momo, jipee
Oya mama Ndangote, jipee
Eeh Doni Fumbwe, jipee

Juu juu, jipee
Juu juu juu, jipee
Juu juu, jipee
Juu juu juu, jipee


Eeeh aaah!!
Eeeh Weeeh!!

Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu

Ooh nasema usiniguse, usinitouch
Salamu iwe kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu

Ooh kwanza kaa mbali
Corona coro, corona coro
Mwenzako naogopa
Corona coro, corona coro

Kwa tena vaa maski
Corona coro, corona coro
Mikono yako kuosha
Corona coro, corona coro

(Ayolizer)
 

Diamond Platnumz – Pamela ft. Young Killer Msodoki
Pamela - Diamond Platnumz ft. Young Killer Msodoki Lyrics, Letra: (Verse 1: Diamond Platnumz}: Kwanza kako sex Pamela! Kiuno kama kazaliwa Congo Ebu ni ka date Pamela! Mikogo kama samaki kamongo Chumbani ni ...
DIAMOND PLATNUMZ X MKALIWENU – SIJICHUBUI
DIAMOND PLATNUMZ X MKALIWENU - SIJICHUBUI Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn ...
The One – Diamond Platnumz
Lyrics, Letra: The One - Diamond Platnumz Ayolizer Aii My heart can never tell me lies I know you love me and the love is true And I ...
Kizz Daniel – Tere ft. Diamond Platnumz
Tere - Kizz Daniel ft. Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Diko diko oh Ah ah eh eh the best of magic pe pe pe pe Pre-Chorus Anywhere you put me I go dey Anything you reason ...
Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
Baba Levo Ft Diamond Platnumz - Shusha Lyrics Letra: Ni salama angamizo Pisha maana matatizo (It’s S2kizzy beiby) Nawashusha, shusha shusha Nawashusha, shusha Nawashusha, shusha shusha Nawashusha, shusha Wapo top ...
Diamond Platnumz – Solder
Diamond Platnumz - Solder Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing ...
Diamond Platnumz – Sound Ft Teni
Sound - Diamond Platnumz Ft Teni Lyrics, Letra: Shika huku eeh Shika kashika huku eeh Shika huku eeh Shika kashika huku eeh Oya dance limpopo Dance sukusi Do for ...
Hallelujah – Diamond Platnumz
Hallelujah - Diamond Platnumz Letras da Musica Diamond Platnumz (Yeah) and Morgan Heritage...... For All Ladies Yeah Ah Verse 1: Diamond Platnumz Hata akilala ananiota Najiita mbalamwezi kisa nna nyota Aah ...
Navy Kenzo – Katika ft. Diamond Platnumz
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Rayvanny – Tetema Remix (Lyrics) Ft Patoranking, Zlatan & Diamond Platnumz
Tetema Remix (Lyrics) - Rayvanny Ft Patoranking, Zlatan & Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Pitbull Miss whole world, Miami This is history in the making Cuba, Rayvanny Yeah ...
Koffi Olomide – Selfie |
Selfie | Genius Intro Kepler 45 2B, DJ Mopao frontière ya liwa Kanga nga photo Tutu Roba Abi yo Abi yo Tshuma Abi yo Veux dire oyo akobina te aza mwana nzambé té Oyo ...
Koffi Olomide – Requiem
Koffi Olomide - Requiem Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing ...
Diamond Platnumz – Haunisumbui
Haunisumbui - Diamond Platnumz Lyrics Letra: Verse 1 Si Kokoko Si Kandambili Yani Vyote Havikupendezi Mwana Ngoko Usonawili Tope Bin Uterezi Utaishia Kututabiri Tubomoke Inasonga Miezi Mola Amesha Takabiri Usijichoshe Halivunjiki ...
Rayvanny ft Diamond Platnumz – Woza
Rayvanny ft Diamond Platnumz - Woza Lyrics Letra: Haibooo! Twende, twende, twende Twende hapo twende Twende Aiyayaya yii Twende (Woza) Twende (Woza) Twende (Woza) Twende (Woza) Twende (Woza) Eeeeh aiyayayayaya Kisigino (Kisigino) Kisigino ...
%d blogueiros gostam disto: