Diamond Platnumz – Ongeza

Ongeza – Diamond Platnumz Lyrics Letra:
Verse 1
Mi Kwako Sikuingia Miguu
Mikono Hadi Kichwa Kiufupi Mazima
Nikiaminii
Wakufa Kuzikana
Yani Hoi Sio Nafuu
Mahututi Kabisa Hata Mashaka Sina
Nikiaminii Tutatengwa Na Maulana
Mvumilivu Ula Mbivu
Nimengoja Mpaka Zikaoza
Naambulia Maumivu
Ingali Sina Wa Kunipoza
Sijui Yangu Stahamilivu
Kunyenyekea Kwaniponza
Napambania Utulivu
Mwenzangu Chuki Unaikoza
Sikukufuta tu Machozi
Ulipolia Nlilia Na Wewe
Sa Mbona Wanilipa Majonzi
Yani Stress Mapombe Nilewe
We Ndio Wangu Yesu Mkombozi
Sa Mbona Petro Unaniacha Mwenyewe
Nikose Usingizi Na Njozi
Ndio Ufurahi? Okey sawa!
Si Unataka Nitukanwe..!

Chorus
Ongeza Ongeza Bado (Nidhalilike)
Ongeza Ongeza Bado (Nikose Pakuificha Sura)
Ongeza Ongeza Bado (Marafiki Wanicheke, Waning’ong’e Adaa)
Ongeza Ongeza Bado

Verse 2
Mmh!
Kisicho Kuua Ukukomaza eti Kiuaskari
Huo Msemo Mi Nakataa
Maana Jua Linapo Angaza Ndio Sina Afadhali
Mie Kwangu Ni Mabalaa
Ooh Ooh! Najitahidi Kumsinga Mwali
Ila Somo Ananikataa
Ooh Ooh! Penzi Letu Sie La Kibatari
Anayamwaga Mafuta Ya Taa
Kutwa Ni Vurugu Ndani
Purukushani Apakaliki
Roho Inaniuma Yani
Kwanini Sa Tunagombana Sweet
Ooh Ooh! Jema Gani
Niambie Labda Nitеnde Kipi
Ata pakucheka Honey
Eti Utani Unapaniki
Naеlewa!
Ridhiki Mafungu Saba Na La Kwangu Sita
Naelewa!
Sikutoshi Labda Kukuridhisha
Sikukufuta Tu Machozi (Sii iih iih)
Ulipolia Nililia Na Wewe (Nawewe!)
Sa Mbona Wanilipa Majonzi
Yani Stress Mapombe Nilewe
We Ndio Wangu Yesu Mkombozi
Sa Mbona Petro Unaniacha Mwenyewe
Nikose Usingizi Na Njozi
Ndio Ufurahi? Okey Sawa!
Si Unataka Nitukanwe..!

Chorous
Ongeza Ongeza Bado (Eeh Eeh Eeh! Nidhalilike)
Ongeza Ongeza Bado (Eeh! Nikose Pakuificha Sura)
Ongeza Ongeza Bado (Ndugu Jamaa Wanicheke, Waning’ong’e Adaah!)
Ongeza Ongeza Bado (Aah Nikose pakuificha sura…!)
Aah Waning’ong’e Adaah!

Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Diamond platnumz – Nipe Wangu ft Alikiba
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Diamond platnumz – KANYAGA
Kanyaga - Diamond Platnumz Lyrics, Letra: (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) It's Platnumz, Zombie (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) Its S2kizzy beiby Ati kanyaga ka ana pigo ...
DIAMOND PLATNUMZ X MKALIWENU NISHAWAKANYAGA
DIAMOND PLATNUMZ X MKALIWENU NISHAWAKANYAGA Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics ...
African Beauty – Diamond platnumz, Omarion
Lyrics, Letras da Musica I'm in love with you There's nothing that I wouldn't do Catch up a (?}: for you As long as you want me ...
The One – Diamond Platnumz
Lyrics, Letra: The One - Diamond Platnumz Ayolizer Aii My heart can never tell me lies I know you love me and the love is true And I ...
DIAMOND PLATNUMZ X MKALIWENU – SIJICHUBUI
DIAMOND PLATNUMZ X MKALIWENU - SIJICHUBUI Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn ...
Wawa Salegy – Moto Ft. Diamond Platnumz
Moto - Wawa Salegy Ft. Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Nasema moto moto(moto) Tunauwasha(moto) Hauzimiki(moto) Nasema moto(moto) Jamani moto moto(moto) Watoto wa Tandale(moto) Watoto wa Kinondoni(moto) Wanangu wa Mbagala(moto) Asa timua vumbi Oga ...
Rayvanny – Tetema Remix (Lyrics) Ft Patoranking, Zlatan & Diamond Platnumz
Tetema Remix (Lyrics) - Rayvanny Ft Patoranking, Zlatan & Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Pitbull Miss whole world, Miami This is history in the making Cuba, Rayvanny Yeah ...
Diamond Platnumz – Penseli
Diamond Platnumz – Penseli Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - [formidable ...
Hallelujah – Diamond Platnumz
Hallelujah - Diamond Platnumz Letras da Musica Diamond Platnumz (Yeah) and Morgan Heritage...... For All Ladies Yeah Ah Verse 1: Diamond Platnumz Hata akilala ananiota Najiita mbalamwezi kisa nna nyota Aah ...
Diamond Platnumz – Haunisumbui
Haunisumbui - Diamond Platnumz Lyrics Letra: Verse 1 Si Kokoko Si Kandambili Yani Vyote Havikupendezi Mwana Ngoko Usonawili Tope Bin Uterezi Utaishia Kututabiri Tubomoke Inasonga Miezi Mola Amesha Takabiri Usijichoshe Halivunjiki ...
Diamond Platnumz – Kosa Langu
Kosa Langu - Diamond Platnumz Lyrics, Letra: (Verse 1}: Ah! Barua yako uliyotuma kwa Ricardo Momo nimeisoma Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma Eeh! Nliyo yategemea Tofauti na nlicho kiona Hata naandika hii ...
Diamond Platnumz – The One
Lyrics, Letra: The One - Diamond Platnumz Ayolizer Aii My heart can never tell me lies I know you love me and the love is true And I ...
Diamond Platnumz – Pamela ft. Young Killer Msodoki
Pamela - Diamond Platnumz ft. Young Killer Msodoki Lyrics, Letra: (Verse 1: Diamond Platnumz}: Kwanza kako sex Pamela! Kiuno kama kazaliwa Congo Ebu ni ka date Pamela! Mikogo kama samaki kamongo Chumbani ni ...
%d blogueiros gostam disto: