Diamond Platnumz – Simba

Simba – Diamond Platnumz Lyrics Letra:
>Oooh waiteee…
Kumekucha jamaa
Nishafanya yake mnyama
Oooh kumekucha jamaa
Nishafanya ya

Aga waambie simba
Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi
Simba kiboko yao

Oooh taifa kubwa
Simba kiboko yao
Oooh this is simba 
Simba kiboko yao

Ona Manara anacheza
Anashangilia ushindi umekuja
Moh anaruka ruka 
Anashangilia ushindi umekuja

Yule dada anakata
Anashangilia ushindi umekuja
Wahuni wanaruka ruka
Anashangilia ushindi umekuja

Na tutamfunga yeyote atakaye kaa mbele
Si wanawashwa tutawakuna upele
Chenga na pasi ndio zetu kama mbele
Oooh magoli mashuti kama Pele

Wataweza wapi jamaa? Wakwende zao
Kushindana na mnyama, Wakwende zao
Oooh wataweza wapi jamaa?
Kushindana na msimanzi 

Aga nasema simba
Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi
Simba kiboko yao

Haina mpinzani
Simba kiboko yao
Oooh mabingwa wa nchi
Simba kiboko yao

Ah wanachama wanacheza
Wanashangilia ushindi umekuja
Mashabiki wanaruka ruka
Wanashangilia ushindi umekuja

Oooh nguvu moja
Wanashangilia ushindi umekuja
Hadi wale wanaruka ruka
Wanashangilia ushindi umekuja

Oya mnyama anakula HAM!
Mnyama anang’ata HAM!
Oya mnyama anakula HAM!
Mnyama anang’ata HAM!

Anawatafuna HAM!
Anawameza HAM!
Anawatafuna HAM!
Anawameza HAM!

Eeh kidedea! 
Eeh kidedea! 
Eeh kidedea! 
Eeh kidedea! 

Napenda Simba mi shabiki wa damu
Napenda Simba mi shabiki wa damu
Mi mwenzenu shabiki wa damu
Napenda Simba mi shabiki wa damu

Nani baba wanangu nani baba? Simba!
Nani baba wanangu nani baba? Simba!
Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba!
Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba!

Kama unapenda Simba puliza Vuvuzela
Eeh kama unapenda Simba peperusha bendera
Ah kama unapenda Simba puliza Vuvuzela basi
Kama unaipenda Simba peperusha 

Asa twende, peperusha bendera
Wanangu bendera
Nione bendera, waonyeshe bendera
Nyekundu bendera, nyeupe bendera

Ya simba bendera
Humo humo

Waitee, aah
Waambie hii ndo timu 
Yenye mashabiki wengi East Africa
Na yenye makombe mengi East Africa and Central
Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano

Makubwa Africa kuliko club yeyote 
Na ati ndo kufunga yeyote
Watoto wa Mfibwazi
Bado sijaskia, miluzi

Sijaskia milio
Wanangu miluzi nisikie milio
Wa kule miluzi wa huku milio
Nisikie miluzi wanangu milio

Eeh kidedea! 
Eeh kidedea! 
Eeh kidedea! 
Eeh kidedea!

Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Diamond Platnumz – Pamela ft. Young Killer Msodoki
Pamela - Diamond Platnumz ft. Young Killer Msodoki Lyrics, Letra: (Verse 1: Diamond Platnumz}: Kwanza kako sex Pamela! Kiuno kama kazaliwa Congo Ebu ni ka date Pamela! Mikogo kama samaki kamongo Chumbani ni ...
Diamond platnumz – KANYAGA
Kanyaga - Diamond Platnumz Lyrics, Letra: (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) It's Platnumz, Zombie (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) Its S2kizzy beiby Ati kanyaga ka ana pigo ...
African Beauty – Diamond platnumz, Omarion
Lyrics, Letras da Musica I'm in love with you There's nothing that I wouldn't do Catch up a (?}: for you As long as you want me ...
Diamond Platnumz – The One
Lyrics, Letra: The One - Diamond Platnumz Ayolizer Aii My heart can never tell me lies I know you love me and the love is true And I ...
Kizz Daniel – Tere ft. Diamond Platnumz
Tere - Kizz Daniel ft. Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Diko diko oh Ah ah eh eh the best of magic pe pe pe pe Pre-Chorus Anywhere you put me I go dey Anything you reason ...
Diamond Platnumz – Baikoko
Baikoko - Diamond Platnumz Lyrics, Letra: (Verse 1}: I say....! Baby you like Yemi Alade I know..... Yeeh! Unampenda mtoto wa Kambarage Diamond! Aaah Ah! Ah! When you de dance dance Sakata! Uno la ...
Jux – Sugua ft. Diamond Platnumz
Sugua - Jux ft. Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Simsima, toto mpe funguo za bima Anitoa Bongo nimefika mpaka China toto Zipuka kishungi nimezima Amenipa lunch nimekula ...
The One – Diamond Platnumz
Lyrics, Letra: The One - Diamond Platnumz Ayolizer Aii My heart can never tell me lies I know you love me and the love is true And I ...
Diamond Platnumz – Jeje
Jeje - Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Jeje You’re pretty jeje Jeje you’re pretty jeje Jeje You’re pretty jeje Jeje you’re pretty jeje baby Jeje You’re pretty jeje Jeje you’re pretty jeje Jeje You’re pretty jeje Jeje you’re ...
Tanasha X Diamond Platnumz – Gere
Gere - Tanasha X Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Verse One Ati unapenda kuni kikupa mpaka morning Nikipekenya pekenya nisiwahi nichelewe Kikuchum mdomoni touchi touchi kiunoni Mi natekenya ...
Diamond Platnumz – Inama Ft Fally Ipupa
Lyrics, Letra: Inama - Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa Ayolizer Kukudekeza kama mtoto  Furaha unafurahia Alafu geuka moto Machozi unalia Mwembamba mwenene Uwe na pesa kama Dangote(Dangote) Penzi halijali umasikini Laweza penda ...
Niache – Diamond Platnumz
Niache - Diamond Platnumz Letras da Musica Mmh eti nikuombee mema na Baraka uzidi fanikiwa siwezi kamwe waa Mmmh ni sawa na kuifosi sinema kuitazana na haijanivutia Lazima ...
Diamond Platnumz – Ongeza
Ongeza - Diamond Platnumz Lyrics Letra: Verse 1 Mi Kwako Sikuingia Miguu Mikono Hadi Kichwa Kiufupi Mazima Nikiaminii Wakufa Kuzikana Yani Hoi Sio Nafuu Mahututi Kabisa Hata Mashaka Sina Nikiaminii ...
Diamond Platnumz – Baba Lao
Baba Lao - Diamond Platnumz Lyrics, Letra: S2kizzy baby! Ayoo Lizer Hook: Diamond Platnumz Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba ...
%d blogueiros gostam disto: