Ethan Muziki – Kesho Kutwa

Kesho Kutwa Lyrics

Verse 1
Kwangu Kujua na kukua
Ni lengo la kila kukisha tua
Hivyo hata ukinizungusha
Sioni shida, Utanifundisha

Wakaribu wanatambua
Saa zingine maneno hunisumbua
Huwa yanikataa
Huwa yanihadaa

Pre-Chorus
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika

Hook
Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Verse 2
Wewe unanijua, gizani umenitoa
Sikudhani ningetoboa
Ni Mara ngapi nilikwama?
Ni Mara ngapi? Umechagua niwe na we’!

Na siezi ngoja kwenda kwenye goti
Nikuvishe pete dunia i-notice

Pre-Chorus
Vile ninapaa, ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika

Hook
Hata Kеsho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapеndana
Na usiku kucha, tutapendana

Interlude
Ooh, I promise to love you
You inspire me
You….
Bridge
Oh yes, oh yes, oh yes!
We’ve given love a chance
Niwe na we’, na we’!
(love is always in us)

Refrain
Sometimes we fall in love
Love us always in us
Sometimes we fall in love
Love is always in us

Coda
Hata Kesho Kutwa
Na Usiku… Na usiku
Kesho, kesho, kesho!
Na usiku
Tutapenda

Ethan Muziki

%d blogueiros gostam disto: