Harmonize – Anajikosha

Harmonize – Anajikosha Lyrics Letra:

(This one is a banger)
Ahaahahaha Jeshi, awiii!
(Daxo Chali)

Anajiko, anajikosha
Anajikoo, anajikosha
Anajiko, anajikosha
Anajikoo, anajikosha

Jumamosi kakesha analewa
Jumapili kanisani, anajikosha
Eti sipendi vya kupewa
Bango analipa shabani, anajikosha


Shoga jana nilinoga
Na nywele yako umetisha, anajikosha
Nimesharudi naoga
Jioni nitairudisha, anajikosha

Kwanza hata usitume tena
Tayari nishazila, anajikosha
Hasa baby nitakula nini
Zilikuwaga ni hasira, anajikosha

Penzi bichi makele bwana
Nimehama nipo mbweni, anajikosha
Tena huku ni baridi sana
Huhitaji hata feni, anajikosha

Awii, awaaa
Awii, awaaa
Awii, awaaa
Awii

Asa lelele, lelele lelelelee
Lelele lelelelee
Tuimbe tena, lelele lelelelee
Lelele lelelelee

Anajiko, anajikosha
Anajikoo, anajikosha
Anajiko, anajikosha
Anajikoo, anajikosha

Baby baby umeniweza kwa bedi
Simkumbuki Juma wala Mohamedi
Ila mbona simu yake sasa
Hataki nijue password, anajikosha

Nitanyoosha chuma
Pengine shida mtandao, anajikosha
Nikipiga kwa watoa huduma
Maelezo ni kibao, anajikosha

Mi siwezagi za kucheza cheza
Na mshipa ngiri, anajikosha
Mara ghafla kaihama meza
Anakimbia ya pili, anajikosha

Hio ndinga ilikamatwa
Nikampa leseni, anajikosha
Kumbe aliena kuvimba Tabata
Na kademu pembeni, anajikosha

Awii, awaaa
Awii, awaaa
Awii, awaaa
Awii

Asa lelele, lelele lelelelee
Lelele lelelelee
Tuimbe tena, lelele lelelelee
Lelele lelelelee

Anajiko, anajikosha
Anajikoo, anajikosha
Anajiko, anajikosha
Anajikoo, anajikosha

Yebo, yebo, yebo

Harmonize – Atarudi
Atarudi - Harmonize Lyrics, Letra: Na yeye ni mwanadamu Na dunia tunapita Kama kupata kwa zamu Oh zamu, Yangu itafika Siwezi kana damu Kesho ataja nizika Ila ningependa mfahamu afahu Haya mateso alonipa uhmm Tena ...
DJ Neptune – Do Like I Do ft. Skales & Harmonize
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Harmonize ft Jux – Wapo
Harmonize ft Jux - Wapo lyrics Harmonize ft Jux - Wapo lyrics (B Boy) Eeh Mmmh mmh Hivi kwanini nijitutumue Na dunia sio makazi Vijineno neno vinisumbue Hadi nishindwe kazi Mama alisema ...
Harmonize – Never give up
Never give up - Harmonize Lyrics Letra: Aii ooh no Ooh Lord have mercy Iyee iyee eeh eeh Konde boy Let me tell you my story Nimezaliwa Mtwara ...
Harmonize – Tepete Ft Mr Eazi
Tepete - Harmonize Ft Mr Eazi Lyrics, Letra: If you need my money carry go Mtoto wa gerezani Kariakor If you need my money carry ...
Harmonize – Hainistui
Hainistui - Harmonize Lyrics, Letra: Yao yao, hahaha Jeshi (Young legendary) Yii Kondeboy Eeh! Hainistui! Hainistui! Hainistui! Hapa nilipo kesho yangu sijui Konde wenzako watakuroga(Hainishtui) Au na wewe ushaogaa(Hainishtui) Maana hunaga uoga(Hainishtui) Hapa ...
Davido – Keep It Up ft. Harmonize
Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - Letra lyrics lyric letras ...
Harmonize – Pipe Industries
Harmonize - Pipe Industries Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - [formidable ...
Harmonize Ft Naira Marley – Ushamba Remix
Harmonize Ft Naira Marley - Ushamba Remix Lyrics Letra: Kondeboy Weeeeeeeee Chorus Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee Huo ni ushambaa ...
Harmonize ft Mbosso – Kwangu Chungu
Harmonize ft Mbosso - Kwangu Chungu Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - ...
RayVanny X Harmonize – PENZI
RayVanny X Harmonize - PENZI (Official Audio) Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn ...
Harmonize – Yanga
Harmonize - Yanga Lyrics Letra: Oh oo oooo Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi Mtoto wa jangwani timu ya wananchi Yaani kati kati ya jiji ...
Spice Diana & Harmonize – Kokonya
Spice Diana & Harmonize - Kokonya Lyrics Letra: Anakokonga yao yao Anakokonga (Nessim pan production) Spice daina (Konde Boy) Njagala kuva nawe my baby Spending my money for ...
Harmonize – Picha yake
Harmonize - Picha yake Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing ...
%d blogueiros gostam disto: