Harmonize ft Jux – Wapo

Harmonize ft Jux – Wapo lyrics

Harmonize ft Jux – Wapo lyrics

(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi

Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao

Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo

Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia

Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi

Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe

Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)
pop
internacional

Harmonize – Show me what you got ft. Yemi Alade
Show me what you got - Harmonize ft. Yemi Alade Lyrics, Letra: Body oooh body ooh, Body ooh body ooh (KONDE BOY) Say yo Body Ooh Body ...
Harmonize ft Aslay – Mwambie
Harmonize ft Aslay - Mwambie Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - [formidable ...
Davido – Keep It Up ft. Harmonize
Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - Letra lyrics lyric letras ...
Harmonize feat Lady Jay Dee – Wife
Harmonize feat Lady Jay Dee - Wife Lyrics Letra: Girl you change my life I am not a play anymore I see myself in love ...
RayVanny X Harmonize – PENZI
RayVanny X Harmonize - PENZI (Official Audio) Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn ...
Harmonize – Kushoto Kulia
Kushoto Kulia - Harmonize Lyrics, Letra: Kushoto kulia Kushoto Kulia (Jeshi) Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for ...
DJ Neptune – Do Like I Do ft. Skales & Harmonize
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Eugy – Lolo Remix ft. Harmonize
Lolo Remix - Eugy ft. Harmonize Lyrics, Letra: Yeah  Ooh nah nah nah I say lolo Baby you be the one eh Yaani huna kasoro Sura shepu ndo ...
Queen Darleen X Harmonize – Mbali
Queen Darleen X Harmonize - Mbali Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com [gdfrm_form ...
Harmonize – Tepete Ft Mr Eazi
Tepete - Harmonize Ft Mr Eazi Lyrics, Letra: If you need my money carry go Mtoto wa gerezani Kariakor If you need my money carry ...
Lava Lava – Pembea Ft Harmonize
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Harmonize – Wapo
Harmonize - Wapo Lyrics Letra: (B Boy) Eeh Mmmh mmh Hivi kwanini nijitutumue Na dunia sio makazi Vijineno neno vinisumbue Hadi nishindwe kufanya kazi Mama alisema mkuku kwa nguruwe Kuishi ...
Harmonize – mapenzi
Harmonize - mapenzi Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this ...
Harmonize – Paranawe ft. Rayvanny
Paranawe - Harmonize ft. Rayvanny Lyrics, Letra: (VERSE 1: HARMONIZE} Kwenye darkness Kwenye Candle Professional wa ku handle The way you take me to the angle Wewe ni human being ...
%d blogueiros gostam disto: