Home / R&B / Jux – Slowly

Jux – Slowly

Slowly – Jux Lyrics, Letra:
Ahuu, ahu ah, ahuuu
Ahuu, ahu ah, ahuuu
Ahuu, ahu ah, ahuuu
Ahuu, ahu ah, ahuuu

Ah unanipaga muda
Ukicheza baby
Na unafanya makusuda
Ah unajua wewe

Tell me what to do
Sijiwezi wewe
Na hakuna wewe tu
Nataka kucheza na wewe

When I see you (aaaah)
Nachoka kabisa when I see you (aaaah)
I go crazy when I see you
Nadata kabisa when I see you

Baby when I see you (aaaah)
Nachoka kabisa when I see you (aaaah)
Crazy when I see you
Napanda na kichaa aah

Babe I wanna see you dance
Slowly, slowly
Hey I wanna see you moving
Slowly, slowly
Mama I wanna see you dance
Slowly, slowly
Aah I wanna see you moving
Slowly, slowly

Love, nichanganye kabisa mama mi ni wehuke
Nikuwaze tu wewe wengine nisikumbuke
Nigande kama ruba mimi nisibanduke aah
Visenti vyangu vyote nilivyonavyo nikupe wewe

Unaniumiza, unavyocheza slomo
Unaniumiza unavyokata kiuno

Baby come slowly
Napenda unavyonipa
Nipe polepole
Mwenzako nachizika aah

Baby come slowly
Napenda unavyonipa aah aah
Nipe polepole
Mwenzako nachizika iyee baby

Slowly, slowly ah taratibu
Slowly, slowly mama mama ma taratibu
Slowly, slowly I wanna see you dance
Mchezo mama ma
Slowly, slowly

Kidogo taratibu mimi na wewe
Kidogo uko tu wewe mwenyewe
Kidogo taratibu mimi na wewe
Kidogo uko wewe tu mwenyewe

Kidogo taratibu mimi na wewe
Kidogo uko wewe tu mwenyewe
Kidogo taratibu mimi na wewe
Kidogo

Hey I wanna see you dance
Slowly, slowly
Mama mama ma
Slowly, slowly
Oooooh

Slowly, slowly
Aah Aah
Slowly, slowly
Taratibu mama
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Jux – Kibindoni
Kibindoni - Jux Lyrics, Letra: Kwenye love niko fofofo Umenidatisha wewe mtoto Napiga mbizi maji ya ugoko Baridi unanipa joto Oooh baby don't let me go, don't ...
Jux – Sio Mbaya
Sio Mbaya - Jux Lyrics, Letra: Kwa nini ukiniona Unakosa furaha Si acha kuna kuna Kwa nini ujipe karaha mama Mi najua unachotaka wee Unachowazaga Ata mimi napitiaga Ila tunajikaza ...
Jux – Sugarcane ft. GNako & Tommy Flavour
Sugarcane - Jux ft. GNako & Tommy Flavour Lyrics, Letra: Nasema njoo njoo my boo Nikupe kipendacho roho Umenivuruga hamu so full Nisikize mimi nikupe show Kam ...
Jux – Tell Me ft. Joh Makini
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Jux – Umenibamba
Umenibamba - Jux Lyrics, Letra: She is badder than the rest She is badder than the rest Nikwambie anavyotaste (ah ah ah) Atanipa murder ase (ah ...
Nikki wa Pili – Kanifuata Ft Jux
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> ...
Jux – Upofu
Upofu - Jux Lyrics, Letra: Elly Piano Verse 1: Jux Ahh Unaweza kupenda, tena bila sababu Ndio maana sijutii, kukutana na wewe Mapenzi ni kitambo, toka enzi za mababu Ndio maana sijutii, kukutana ...
Jux – Zaidi
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Jux – Fashion Killer ft. Singah
Fashion Killer - Jux ft. Singah Lyrics, Letra: Yeah fashion killer killer Yeah yeah Baby girl you realer realer Oooh ah nah nah Yeah Fashion killer killer Yeah yeah ...
Jux – Now You Know ft. Q Chief
Now You Know - Jux ft. Q Chief Lyrics, Letra: I've seen many beautiful women in my life You are the one that I love ...
Jux – Pole Ft Abdu Kiba
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Jux – Bado Yupo
Bado Yupo - Jux Lyrics, Letra: Hello, habari gani? Hello oh ooh, unaitwa nani? Hello, uko gizani? Hello, kuna tatizo gani? Basi we nieleze Palipokaza nilegeze You're so beautiful baby Ah ...
Jux – Sugua ft. Diamond Platnumz
Sugua - Jux ft. Diamond Platnumz Lyrics, Letra: Simsima, toto mpe funguo za bima Anitoa Bongo nimefika mpaka China toto Zipuka kishungi nimezima Amenipa lunch nimekula ...
Jux – Unaniweza
Unaniweza - Jux Lyrics, Letra: Abbah Verse 1: Jux Pindi ukicheka we, Mi moyo unanitabasamu Huwa mwenye kujihisi mororo Ila ukilia wee, Hata kula nakosa hamu Huwa mwenye kujihisi mdororo Hook: ...

Deixe uma resposta

Esse site utiliza o Akismet para reduzir spam. Aprenda como seus dados de comentários são processados.

%d blogueiros gostam disto: