Mbosso – Ate

Ate – Mbosso Lyrics, Letra:
Verse 1
Nataka longa na Wewe
Nikufunze Mapenzi
Mwenzako nayajua
Nataka sema nawe
Nikufunze Penzi Mimi ninalijua
Nipe nikubembeleze Kama mtoto ng’ara
Kwa raha zako ujinenepee
Nikushike Pendo lisiteleze likagaragara
Wabaya Macho Wasisogelee
Aaaaah Ah

Bridge
Twende Zanzibar Comorro Mombasa
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha
Nikupe Michezo hatari Uzidi Takata
Tuwe ng’aring’ari Dangote Tanasha

Chorus
Kama Kikogwa nitala na Chumvi
Ate ate ate atee
Vimboga mboga Sangara Uduvi
Ate ate ate atee
Eeeeh iyanaaa iyaaaa
Ate ate ate atee
Iyaaana iyaaaaa
Ate ate ate atee

Verse 2
Mhh mhhh mhh mhhh mhhh
Mimi Daktari
Daktari wa Mapenzi
Dozi yangu temethali
Inatibu na kuenzi
Mhh
Yangu Tamu tamu bila Kuchanjia
Chachu Kwa Kudambulia
Swafi kwa Kuitumia ni Salama
Kama Buble Gum utatafunia
Ndafu kwa kusukumia
Mhh Chakurumagia
Kinyama
Penzi liogelee hii bahari Salama
Selelea Se
Tuelee mioyo isiende mrama
Selelea Se
Tule tujisosomoe nyama nyama za Shawarma
Selelea Se
Habib Seleleaaa

Bridge
Twende Zanzibar Comorro Mombasa
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha
Nikupe Michezo hatari Uzidi Takata
Tuwe ng’aring’ari Dangote Tanasha
Aaaaah Ah

Chorus
Kama Kikogwa nitala na Chumvi
Ate ate ate atee
Vimboga mboga Sangara Uduvi
Ate ate ate atee
Eeeeh iyanaaa iyaaaa
Ate ate ate atee
Iyaaana iyaaaaa
Ate ate ate atee

Outro
Jamaa mwali Kang’ang’ania
Anaitaka
Mmhh Analilia
Anaitaka
Oooh Kashikilia
Anaitaka
Nimpe Yote yote
Yani nzima nzima
Anaitaka
Oooh Kulamba lamba
Anaitaka
Chocolate Ya maziwa
Anaitaka
Yote yote
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Harmonize ft Mbosso – Kwangu Chungu
Harmonize ft Mbosso - Kwangu Chungu Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - ...
Zuchu – Ashua Ft Mbosso
Ashua - Zuchu Ft Mbosso Lyrics, Letra: Aaah aah, naa aaah ooh Mocco Marahaba, marahaba habibi Dunda kwa mama ngala kupachua Oooh, mahaba, mahaba yamzidi Kindi muchanga chaku chachua Mmmh, ...
Tanasha Donna – La Vie Ft Mbosso
La Vie - Tanasha Donna Ft Mbosso Lyrics, Letra: (Its S2kizzy Beiby) Pour La Vie je t'aime pour La Vie Oooh mon na mon je ...
Wcb wasafi – JIBEBE ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava
JIBEBE - Wcb wasafi ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava Lyrics, Letra: Asa jibebe bebe Embu jibebe bebe Si ujibebe bebe Oya jibebe bebee Asa jibebe bebe Embu jibebe ...
Otile Brown – Pole ft Mbosso
Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0">
Mbosso – Nadekezwa
Naderezwa Hoho ho ho ho hoho Hoho ho ho ho hoho Salamu ulizo nitumiaa Zimenifikiaa Nipo salama hata usijali Nalishwa vitamu vinono najiliaa Ini yani angamiaa Penzi twadalika napo kidali Numekushauu Nakumbukaa tu ...
Mbosso – Wcb Wasafi
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Nimekuzoea – Mbosso
Lyrics, Letras da Musica Hujaacha tobo Uliloniachia ni bonge la tundu Sina nyendo Mama kaninunia Nahisi gundu Nakunywa gongo Najisaidia nguoni aibu Uuh mwalongo Kitanda changu ndio chooni Wewe ndio sababu uuh Butuu mobimba ...
Watakubali – Mbosso
Lyrics, Letras da Musica Maaaaaaaa aaaah ah! Uh Ohohohohoh Oh Ohohoh! (Wasafiii) Hhhmm Maaaaaaaa aaaah ah! Iyoo Lizer Uh Ohohohohoh Oh Ohohoh! Asalala Mungu kaninyima upole Hali yangu majalala Mwali nliekosa mkole Terminal Mbagala Ofisi ajira ...
Mbosso – Nadekezwa
Lyrics, Letras da Musica Hohohoo hohoo hoho … Hohohoo hohoo hoho (Verse 1} Salamu ulizo nitumia ah Zimenifikia  ah Nipo salama hata usijali Nalishwa vitamu Vinono najilia Biliyani yangamia Penzi twa dalikana poo ...
Mbosso – Tamba Magufuli
https://www.youtube.com/watch?v=ptUvlF7jwXQ Mbosso - Tamba Magufuli Lyrics, Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this ...
Mbosso – Tamba
Tamba - Mbosso Lyrics, Letra: (Nusder) Pasha maji weka moto Tandika jamvi naja nyumbani Nimekuletea zawadi Kijora cha mkopo Futa la nazi ujipare honey Na vijisabuni vya Magadi Nguru usimtoe ...
Mbosso – Nipepee (Zima Feni)
Nipepee (Zima Feni) - Mbosso Letra, Lyrics: Eh Wallah, Mungu kanipa nilichomuomba mashallah (rahaaa) Na wala si shiriki kubatula unanisongaa nalalala Jamani (rahaaa) Nitakulinda kwa ku noti Nittapingana ...
Susumila – Sonona Ft Mbosso
Sonona - Susumila Ft Mbosso Lyrics, Letra: (Mocco) Siku moja moja Ukipata nafasi tukumbukane Nitalipa bodaboda Acha na mwendo kasi usijibanebane Aha, ewe binti maringo Sijui wanisikia Pendo lako nicheze bingo Huenda ...
%d blogueiros gostam disto: