Nimekuzoea – Mbosso

Lyrics, Letras da Musica
Hujaacha tobo
Uliloniachia ni bonge la tundu
Sina nyendo
Mama kaninunia
Nahisi gundu
Nakunywa gongo
Najisaidia nguoni aibu
Uuh mwalongo
Kitanda changu ndio chooni
Wewe ndio sababu uuh

Butuu mobimba nazolela
Naumia sana Nimekuzoea
Butuu mobimba nazolela (mama aah)
Naumia sana Nimekuzoea
Hhhmm Ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe
Sura yako
Nishasomewa vitabu
Bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako (Yeee eeeh eh)

Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya Ayaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka (mama)
Ayayaya Ayaya

Utamu wa nanasi
Ghafla huwa mchungu sana
Ukinywa maji
Baby wangu wasiwasi
Nani kakuficha mama
Rudi basi (Uuuh)
Tajiri wa uzuni
Machozi kwangu (Bwerere)
Upepo wa firauni
Umemkumba ngedere
Mfukoni mbuni
Vichenchi chenchi (Njenjere)
Uuh namaliza sabuni
Mdomo koma (kelele)

Butuu mobimba nazolela
Naumia sana Nimekuzoea
Butuu mobimba nazolela (mama aah)
Naumia sana Nimekuzoea
Hhhmm Ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe
Sura yako
Nishasomewa vitabu
Bado vinasema wewe
Nikifa msiba wako (Yeee eeeh eh)

Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka
Ayayaya Ayaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ayayaya Ayaya
Na machozi hayataki kauka (mama)
Ayayaya Ayaya

Moyo una Malengelenge
Moyo wangu eeh (Malengelenge)
Nahema kwa shida (Malengelenge)
Biashara yangu ya mapenzi (Malengelenge)
Hasara si faida (Malengelenge)
Maazoea (Malengelenge)
Nimekuzoea (Malengelenge)
Aaaah ah (Malengelenge)
Nimekuzoea

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu
Mbosso Ft Diamond Platnumz - Karibu Lyrics Letra: (Abbah), (Ayolizer) Ishafika saba sasatunakungojea Imebaki miezi miwili tu hebu siku sogea Tuna shauku na bashasha ya kukupokea Sio ...
Alele – Mbosso
Lyrics, Letras da Musica Hhhhmm Oooh Ooooh Oh! Iyooo Lizer Hhhmm Nyama zetu za ulimi Zikikutana asali Bonyea chini Chagama kama tayari Leo tule nini Mihogo ya Coco kwa kachumbari Si unanjuaga mimi Kitandani huwa ...
Mbosso Ft Liya – Your Love
Mbosso Ft Liya - Your Love Lyrics Letra: Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh (It's S2kizzy beiby) Nataka niimbe na wewe Leo unisikilize ...
Mbosso Ft Spice Diana – Yes
Mbosso Ft Spice Diana - Yes Lyrics Letra: Maagazi Jutoo Mapenzi Hayagawanyiki Nimepata Pumziko Moyo Haupapatiki Naionja Pepo Ingali Nipo Duniani (Duniani) Nalila Leo Na ...
Mbosso – Mtaalam
Lyrics Letra: Na Mbosso Khan tena  (Sounds by Abbah) Una kila sababu Ya kusimama kimaso maso Mungu kweli wa ajabu Kanionyesha kwa yangu macho Chukua zangu swahabu Mi nibaki ...
Mbosso – Ate
Ate - Mbosso Lyrics, Letra: Verse 1 Nataka longa na Wewe Nikufunze Mapenzi Mwenzako nayajua Nataka sema nawe Nikufunze Penzi Mimi ninalijua Nipe nikubembeleze Kama mtoto ng'ara Kwa raha zako ujinenepee Nikushike Pendo lisiteleze ...
Zuchu – Ashua Ft Mbosso
Ashua - Zuchu Ft Mbosso Lyrics, Letra: Aaah aah, naa aaah ooh Mocco Marahaba, marahaba habibi Dunda kwa mama ngala kupachua Oooh, mahaba, mahaba yamzidi Kindi muchanga chaku chachua Mmmh, ...
Mbosso – Wcb Wasafi
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Mbosso Ft Njenje (Kilimanjaro Band) – Tulizana
Mbosso Ft Njenje (Kilimanjaro Band) - Tulizana Lyrics Letra: Eeeh, mmmh, eeh Ana vidimple dimple Vishimo shimo mashavuni Mikononi vipiko piko Eti kipini kipo kitovuni Ya nini nibaki ...
Mbosso Ft Mr Flavour – Sakata
Mbosso Ft Mr Flavour - Sakata Lyrics Letra: (Nusder on the beat) Iyee, ola ola, ola ola We mwana we umefunika nini Funua nione Asa unaninyima nini? Uchoyo ...
Mbosso – Tamba
Tamba - Mbosso Lyrics, Letra: (Nusder) Pasha maji weka moto Tandika jamvi naja nyumbani Nimekuletea zawadi Kijora cha mkopo Futa la nazi ujipare honey Na vijisabuni vya Magadi Nguru usimtoe ...
Mbosso – Sina Nyota
Mbosso - Sina Nyota Lyrics Letra: Mokko Mwenyewe anaona sawa ila mwambie Mime ananiumiza sana Ni zaidi ya kupagwa siponi ugonjwa Na nishamaliza dawa Aahhh ahhh Ahh ahh ah Na ...
Gabu – Mastory Ft Mbosso
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Mbosso – Tamba Magufuli
https://www.youtube.com/watch?v=ptUvlF7jwXQ Mbosso - Tamba Magufuli Lyrics, Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this ...
%d blogueiros gostam disto: