Meja Kunta X Lava Lava – Wanga

Wanga – Meja Kunta X Lava Lava Lyrics, Letra:
Oooh oooh wanga wabaya
Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya

(Ngatale music)

Ooooh aah…
Wabaya hao(Burn music)
Wanga wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya

Ukiwa nacho watakuroga wanga
Ukiwa huna watakuroga wanga
Ukipata pesa watazusha unadanga
Wakati mwenyewe umejichanga

Wanga wabaya(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Hata mimi yalinikuta
Nikasingiziwa nimekufa
Mama yangu alilia sana
Oooh huruma mama

Wanga wabaya(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Mbona wana mambo meusi
Nikiposti picha wanacomment matusi
Nikikonda tu una virusi
Wana roho za kenge mixer mijusi(Mscheew)

Mama wabaya(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Labda nami nifanye kipi kizuri waja
Niwe rafiki wa kila mja
Iwe furaha inishinde husta
Haya yapite mengine yaja

Wanga wabaya hao(Kweli wabaya)
Wanga wabaya

Unamtaka kwio
Una hela kwio
Eti una dola kwio
Nenda ukalale kwio

Kwiyo yoyoiyo kwio
Kwiyoyo kwema kwio
Wewe acha wee
Piga kelele kwa kwio wake wewe

Basi container muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
We muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)

Basi sina muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
We muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)

Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao
Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao

Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)
Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)

Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)
Anakata(Kimbao mbao)
Anakati(Kimbao mbao)

Basi ndinda na bingwa wa kudanga hata kwako huna
We bingwa wa kudanga hata kwako huna
Dada unaringa una chura kumbe la kichina
Unaringa una chura kumbe la kichina

Na tipi tifua tetema(We tetema)
We tetema (We tetema)
Basi na twende tetema(We tetema)
Basi kidogo tetema(We tetema)
Na tifua tifua tetema(We tetema)

(Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza)

Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Wahuni kuku kishingo, we kishingo
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Meja Kunta – Pipi
Meja Kunta - Pipi Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - [formidable ...
Lava Lava – Habibi
Habibi - Lava Lava Lyrics, Letra: Una rangi ya chotara Manga manga asili ya ki-Zanzibari Chokoleti colour mixer m-Tanga Tanga Una ng'ara ng'aring'ari Ngozi laini kanchori, sambusa ...
Dully Sykes X Lava Lava – Balaa
Dully Sykes X Lava Lava - Balaa Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN ...
Meja Kunta – Msiniseme
Meja Kunta - Msiniseme Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - Letra ...
Mbosso – Wcb Wasafi
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Lava Lava – Single
Single - Lava Lava Lyrics, Letra: Miaka ishirini na tatu sasa Lava nimekua Si mtoto tena Nisha pitia mingi mikasa Na nimesha jua Lipi baya na jema Wazai wanauliza kutwa wanapanda ...
Lava Lava – Tuachane
Lyrics, Letras da Musica Aaaaah Aaaah Aaaaah Aaaah Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu
 Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili
 Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sub
 Siwezi Ooh Na ...
Qeen Darleen Ft Lava Lava – Bachela
Qeen Darleen Ft Lava Lava - Bachela Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN ...
Lava Lava – Hatuachani
Lyrics, Letra: Hatuachani - Lava Lava achana na hao manyambafu wasikupande kichwani midomo yao michafu isikunyime amani we ni pende kama sarafu unifiche kwa pani na unigande ...
Lava Lava – Pembea Ft Harmonize
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Lava Lava – Gundu
Gundu - Lava Lava Lyrics, Letra: Uuuuuuhhhhhmmm…. Eeeeh Noana maajabu kinanizonga Kizaaaaa zaa Kila mahesabu Ninayopiga yanakataa Nahisi mababu Mizimu yao imechachama Au sina thawabu Mola nioyeshe nyota ya jah Eeeeh… Kulia nimelia Nikamaliza leso Nimekosa kipenda roho Nimekaa subiria Huenda ...
Lava Lava – Mapenzi
Lyrics, Letra: ⦁ Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com contact-form-7 id="76811" title="Letra da musica que falta" ...
Lava Lava – GO Gaga
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Lava Lava – Tekenya
Tekenya - Lava Lava Lyrics, Letra: Kanitekenya tekenya katoto Kamenitekenya tekenya katoto Kanitekenya tekenya katoto Kamenitekenya tekenya katoto Kamenitekenya kamenigusa kunako Eeeh kunako Kamenitekenya kamenipofua macho  Eeeh macho Kanafanya makusudi  Kama hakataki beepu(Mdoli ...
%d blogueiros gostam disto: