MITO – PESA MAUA

MITO – PESA MAUA Lyrics Letra:
Pesa maua, lakini tamaa inaua ( x2 )
Pesa maua, lakini gombo kare neko
Pesa maua, lakini tamaa inaua

Pesa maua, lakini tamaa inaua ( x2 )
Pesa maua, lakini gombo kare neko
Pesa maua, lakini tamaa inaua

Stick to your lane issue ukijua ukipanda utavuna
Believe and pray zidi kusonga matata hakuna
Usiseme hauna juu life ni ngumu na bado inachuna
Keep on the hustle weka imani you go make it sooner

Huwezi lima ka hauna jembe
Na buda kesho utataka sembe
Oya life ni tamu kama embe
Kula na adabu usimeze tembe
Usikae nyuma ka mlembe
Buda kua sharp ka wembe
Alafu stand out ka pembe
Na uache tu kulala sana ka mzembe
Aahh,
Pesa maua, ukishika shika utajua
Inaweza kukuja kidogo ama imiminike kama mvua
We tosheka na chenye unapata, na uzidi kupiga tu dua
Na tamaa inaua, mito nawashow kitu sure

Pesa maua, lakini tamaa inaua ( x2 )
Pesa maua, lakini gombo kare neko
Pesa maua, lakini tamaa inaua

Pesa maua, lakini tamaa inaua ( x2 )
Pesa maua, lakini gombo kare neko
Pesa maua, lakini tamaa inaua

Timbe gi ne omiyo gin giloro
Jadha ti matek ka jadolo
Kiny kik ichak ni wasolo
Gini itemo ga inya ono
Kiny poth warwaki gi sironyo
Miluma rach i know you don’t know

Nyar Omollo an anjejni , kaka mwanda an andekni
Pesa jachien pesa be ber, kendo obiro ga gi mit ndi
Pesa biro gi sabunde, kendo okelo ga liet ndi
Pesa loko ga bakunde, kendo olokore kaka ng’ielo
Pesa nyalo miyo igweyo, to seche moko otaro wang’a

Pesa maua, lakini tamaa inaua ( x2 )
Pesa maua, lakini gombo kare neko
Pesa maua, lakini tamaa inaua

Pesa maua, lakini tamaa inaua ( x2 )
Pesa maua, lakini gombo kare neko
Pesa maua, lakini tamaa inaua

%d blogueiros gostam disto: