Nandy – Thamani

Thamani – Nandy Lyrics, Letra:
Thamani na sura yako ndoinafanya mwenzangu ujidai siringe aliyekupa
Nae iko siku atakuja kudai sina thamani me nukia ya zamani kisa
Umemwona kishikombi umenikana kwa rafiki hadhani kweli penzi chachu
Tena silambi ni bora ungekuwa wazi kuwa hunitaki ningemiliki kuwa
Lonely kuliko penzi kuwa chachu ya maisha yangu furaha yangu sioni me
Mwana wa mwenzio aah mwana Christina
Nafsi yangu kuishi na kinyonge zinasema
Aaah
Ukiniacha nitakufa mazima
Sasa wale sasa wale
Ukiniacha nitakufa mazima ah
Itakuwa hatare itakuwa hatare×2
Muda mwingine nawaza sababu ya kununiana au labda
Mwenzangu bado una uvulana makusudi visa na dharau kupigana
Huzuni
Me ubavu wako wa kushoto nimeumbwa
Aibu uoni aaah ayayaya ayayaya ayayaaa

Muda mwingine nawaza sababu ya kununianaah au labda mwenzangu bado
Una uvulana aaaah me mwana wa mwenzio ooh mwana
Christina aaah nafsi yangu kuishi na kinyonge we zinasema aaah
Ukiniacha nitakufa mazima ah
Sasa wale sasa wale
Ukiniacha nitakufa mazima ah
Itakuwa hatare itakuwa hatare×2
Ukiniacha nitakufa mazima babaa ooh mazima baba mazima
Zima mazima babaaaaah baba ooheeeh mazima baba itakuwa hatare
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

%d blogueiros gostam disto: