Okello Max, Bien – I Gatchu

I Gatchu – Okello Max, Bien Lyrics Letra:

Verse One – Okello Max
Wanasema tumependana
Hadi tukafanaa
Utamu wa mahaba
Baby wewe ndiye ladha
Oooh tunafaana
Kufa kuzikana
Penzi lako ndilo nanga
Ndo maana nimekwama
Oooh yeah

Pre hook
Hicho ulicho nacho ndicho sina
Nyuma umejaza mandwandwa
Kiuno chako chembamba
Oooh looord yeah
Kukupenda we sina tilalila
Tena hunanga fitina
Usiwaskize pararira

Hook
I got you babe
I got you babe
I got you babe
Na sitokata tamaa *2

Verse 2 – Bien
Moyoni mwangu kodi sitolipisha
Unanipa subira
Marohani yangu unashukisha
Picha zako ndotoni zanijia
Ukiwa mbali naumia
Nashindwa tulia

Pre hook
Unaponipeleka mi sijawaifika
Mwanzo kiuno nikishika
Busu lako lanimaliza
Mamaaaa….
Kukupenda we sina tilalila
Tena hunanga fitina
Usiwaskize pararira

Hook
I got you baby
I got you babe
I got you babe
Nasitakata tamaa*2

Bridge
Ti anamanyi Nyasachiel kuonde te
Jogo mokawi Nyasachiel biro yie
Okabideo koda mifalme
Sibuor wang’a lil pacha bende lokore

Hook
I got you baby
I got you babe
I got you babe
Nasitakata tamaa*2

Okello Max, Bien – I Gatchu

%d blogueiros gostam disto: