Rayvanny – Miss Buza Ft Dulla Makabila

Miss Buza – Rayvanny Ft Dulla Makabila Lyrics, Letra:
Huyo miss buza

Mama miss buza

Jamani miss buza

Nampenda miss buza

Huyo miss buza

Mama miss buza

Jamani miss buza

Nampenda miss buza

Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma

Harufu yake ya wigi unapata Corona

Hee kikipigwa kigodoro lazima utmuona

Shughuli hajaalikwa, kijola ka shashola

Ila chumbani si gogo mwali

Mbuzi kagoma kifo cha mende chali

Uvunguni sakafu juu ya dari

Ua mtoto anaupaka asali mama

Akiona simu anapita nayo

Eh, akiona walleti anapita nayo

eh, akiona dundo kali anapita nayo

Yaani akiona begi kali anapita nayo

Ana msitu kwapani dala kifuani

Kwenye dala dala anapita dirishani

Ghetto anazima taa, vipele mapajani

Ana dera jipya, chupi la zamani

Ah yo yo yo

Huyo miss buza

Mama miss buza

Jamani miss buza

Nampenda miss buza

Huyo miss buza

Mama miss buza

Jamani miss buza

Nampenda miss buza

Haya kelele ya kwanza kwa missi yake, weh

Kelele ya pili kwa missi yake, weh, weh

Kelele ya tatu kwa missi yake, weh, weh, weh weh

Mtoto anachu chu, anachuchumia

Ana chu chu, mpaka nguo anavua

Mtoto anachu chu, anachuchumia

Ana chu chu, mpaka nguo anavua

Akivua shati muache, muache

Ameamua muache, muache

Akivua shati muache, muache

Ameamua muache, muache

Katikati nataka loshindikana

katikati nataka chura nyembamba

Mwanangu katikati nataka loshindikana

kati kati nataka chura nyembamba

Basi twende tunaenda kushoto

Wanangu kushoto, wahuni kushoto, Masisela

Turudi ulia, wanangu kulia

Masela kulia, wanangu

Basi twende tunaenda kushoto

Eh kushoto, wanangu kushoto, iii kushoto

Basi twende tunaenda Kulia

Wanangu kulia, ati, ati, ati, ati, ati,ati

Basi tuende teremka, we wanagu teremka

Teremka shika mabega teremka

Bwana teremka, masisela teremka

Teremka shika kiuno teremka

We wanangu teremka, mama teremka

Teremka shika magoti teremka

Basi tuende nioneshe unavyochumaga mchicha tembele

Nioneshe unavyochumaga mchicha

Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele

Nioneshe unavyochumaga mchicha

Oya tuende kqmq unalo tingisha

We mama tingisha, tuone tingisha we dada tingisha

Kama unalo tingisha, we mama tingisha

Tuone tingisha, we dada tingisha

Kama unalo tingisha we mama tingisha

Tuone tingisha we dada tingisha

Basi tuende shosho we nioneshe sho

Style gani unacheza kidalipo

We mwanangu shosho we nioneshe sho

Style gani unacheza kidalipo

Basi tuende kibaikoko we mtoto

Miguu juu ning’inia kama popo

Kibaikoko we mtoto

Miguu juu ning’inia kama popo

Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa

Shika magoti unashukaa unashukaa unashukaa

Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa

Shika magoti unashukaa unashukaa unashukaa

Basi tuende timua vumbi timua shemeji atafua

Timua vumbi timua shemeji atafua

Bwana timua vumbi timua shemeji atafua

Timua vumbi timua shemeji atafua
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Phlex – Bam Bam ft Rayvanny
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Rayvanny – Chombo
Chombo - Rayvanny Lyrics, Letra: (ololololololo…) Hehehe eh Vanny Boy! Vanny boy ! (ololololololo…) Hey Foundation, wanja Nywele ya bei ya kiwanja Ndinga mkwanja Shopping mwendo wa kuchanja Sponsor danga Nichune komesha viranga Basi vimba ...
Rayvanny – Corona (Lyrics) ft. Magufuli
Corona (Lyrics) - Rayvanny ft. Magufuli Lyrics, Letra: Corona, corona, corona Wote tumuombe Mungu kwa hili janga Ikibidi lipite Tujihadhari na tujikinge Ili lisitufike Habari kote duniani zimesambaa Ugonjwa ...
Nsoki Feat. Rayvanny – African Sunrise
Nsoki Feat. Rayvanny - African Sunrise (Audio Oficial) 2018 Confira Lyrics, Letra da musica com Video para Ouvir, Aprenda agora a cantar todas ...
Rayvanny – Ex Boyfriend
Ex Boyfriend - Rayvanny Lyrics, Letra: Leo nakula kwa macho Nguvu ya kusema sina Maneno ya mipasho Na jeuri vimeshazima Nilishafuta namba zako Nikachoma picha zako Sikujali ulivyolia Mbele ya ...
Rayvanny ft Busiswa & Baba levo – Zipo
Rayvanny ft Busiswa & Baba levo - Zipo Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the ...
Dulla Makabila – Sema Kweli
Dulla Makabila - Sema Kweli Lyrics Letra: Confira Letra da musica com Video para Ouvir, Aprenda agora a cantar todas as letras desta ...
Fik Fameica – Mwaga Ft Rayvanny
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Nyandu Tozzy – Mawe Ft Rayvanny & Mr Blue
Mawe - Nyandu Tozzy Ft Rayvanny & Mr Blue Lyrics, Letra: Kuna maku ameniDM(DM) Anasema Nyandu sku hizi unazima sheli fegi Umekuwa waki kinoma unahang out na ...
Dulla Makabila – Ningekuwa Demu
Dulla Makabila - Ningekuwa Demu Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - [formidable ...
Rayvanny ft Diamond Platnumz – Woza
Rayvanny ft Diamond Platnumz - Woza Lyrics Letra: Haibooo! Twende, twende, twende Twende hapo twende Twende Aiyayaya yii Twende (Woza) Twende (Woza) Twende (Woza) Twende (Woza) Twende (Woza) Eeeeh aiyayayayaya Kisigino (Kisigino) Kisigino ...
Rayvanny – Kazi Iendelee
Lyrics Letra: Let the work continue Let the work continue We cried and complained Why did Dad leave, we held back But God has not abandoned ...
Rayvanny – Kiuno
Rayvanny - Kiuno Lyrics Letra: Baby baby ayi ayi ayi Michepuko ya zamani bye bye bye Mi najidai dai dai, oh we subiri shera dai ...
Linex ft. Rayvanny – Waongo
Linex ft. Rayvanny - Waongo Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to ...
%d blogueiros gostam disto: