Rich Mavoko – Bad Boy

Bad Boy Lyrics Letra:
Kuna warembo bila idadi
Ila jikinge chae
Uko na mfalme ni kama jadi
Leo napiga dry

Mashup and whine it
Jamaican gal, amazing gal
Hapendi nahii

Nikikufuata nitakodi nguo
Penzi lako halina kituo
Mi gon never leave you kioo
Hata kwa njama usiketuo

Nikikupata sikuachi
Oh oh oh, oh oh oh
Oh oh oh, oh oh oh

I’ll never leave you badgirl
You’ll never leave me badboy
I’ll never leave you badgirl
You’ll never leave me badboy

Its my time to shine mama
Die one frame werenina
Brownskin fine from China

Akicheka ana mwanya
Kuja kufinya offer nampa bima
Nikiss lips alone more
Ogopa wizi na wanoko

 

Mashup and whine it
Jamaican gal, amazing gal
Hapendi nahii

Nikama hataki
Wakati anaachiwa moto
Kibati wengine sitaki

Na vibes zake za Uswazi
Mixer za masaki
Sitaki aniteme
Mwingine nitapata wapi?

Na ma najua I’m a bad boy
Ila kwako sichomoi
Unavyonitweet kisela sela
Kwangu haupoi (Haupoi na enjoy)
Wengine hawatoboi
Iwe Dar tu wa know know

Malaika ni pia ni mrembo kupindukia
Ni yeyeyeye
Malaika ni pia ni mrembo kupindukia

Oh oh oh, oh oh oh
Oh oh oh, oh oh oh

I’ll never leave you badgirl
You’ll never leave me badboy
I’ll never leave you badgirl
You’ll never leave me badboy

Lulu Diva – Ona ft. Rich mavoko
Lyrics, Letras da Musica Moyo si unge baki nao Nifanye kivuli Ruksa tu unichote nyao Unifunge nitulie tulii, oooohhhh Mwafulani anauliza umenipa nini?,….. Kwa udi na ubani, nimekulia amini Wanao ...
Rich Mavoko – Wamilele
Wamilele - Rich Mavoko Lyrics Letra: Wengine kando, tetele mchele Sio kazi Hafanyi more, pesa zina matege Kweli muyadharau ni mtama ukutege Sheria msumeno, ke ...
Rich Mavoko – Kaweka
Kaweka - Rich Mavoko Lyrics, Letra: Niwekeze kwako Upendo nikope Nilegeze macho Nilewe hadi kope Mwenzio, mwenzio Nakitazama kioo Beiby no, beiby no Usitamani lishoo I say(Kaweka) Nikizungusha(Kaweka) Nikiinuka(Kaweka) Kalivyo na mizuka(Kaweka) I say mama ...
Lulu Diva Ft Rich Mavoko – Ona
Lulu Diva Ft Rich Mavoko - Ona (Official Audio) Confira Lyrics, Letra da musica com Video para Ouvir, Aprenda agora a cantar todas ...
Otile Brown – Kiuno ft Rich Mavoko
Lyrics, Letra: ⦁ Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0">
Rich Mavoko – Niwahi
Niwahi - Rich Mavoko Lyrics Letra: Ni kweli my first time to meet Nаmwonа huyu mwаnа Kаvаа ki-simple kisаnii Ilа mi аmenimurder Kаmа mshаle unichome Mwili ni kаti ...
Rich Mavoko – Naogopa
Naogopa - Rich Mavoko Lyrics, Letra: Verse 1 This is awesome Freenation Nipige guitar, keyboardi I will sing as well Niimbe tamu melody I will take from there Remember Mtukudzi todii Ukumbuke wee Niforce nilipe ...
Rich Mavoko – Ndegele
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Rich Mavoko – Baby Love ft Wizkida
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
%d blogueiros gostam disto: