Rich Mavoko – Wamoto

Wamoto – Rich Mavoko Lyrics Letra:
(Moko!)

Kama sanamu ukicheka
Una sura ya mdoli
Siwezi kuneng’eneka 
Kwako mateka kigoli

Na sipagawi kiunoni shanga
Umbo umejaliwa
Uko kibada nitauza shamba
Ama ushanunuliwa


Usije tanga tanga kwa waganga
Mwisho ukaibiwa
Mpaka varandani tulicheze vanga
Toto amejaliwa

Mi natamani kumshika (Wamoto huyo)
Asa nikimuona (Wamoto huyo)
Akikatiza kwa mtaa (Wamoto huyo)
Moyo unanisonona (Wamoto huyo)

Tena alivyoumbika (Wamoto huyo)
Toto nyama kanona (Wamoto huyo)
Sasa mimi nitafanyaje (Wamoto huyo)
Naishia kumuona (Wamoto huyo)

Anakomesha sista duu
Wanamuita mama yao
Namtamani kwa bedi tuu
Kanikomesha kwa viwalu

Hayo macho ukimwona
Kama amekula kungu
Alipofumuka anashona
Huko nyuma kama nundu

Na sipagawi kiunoni shanga
Umbo umejaliwa
Uko kibada nitauza shamba
Ama ushanunuliwa

Usije tanga tanga kwa waganga
Mwisho ukaibiwa
Mpaka varandani tulicheze vanga
Toto amejaliwa

Mi natamani kumshika (Wamoto huyo)
Asa nikimuona (Wamoto huyo)
Akikatiza kwa mtaa (Wamoto huyo)
Moyo unanisonona (Wamoto huyo)

Tena alivyoumbika (Wamoto huyo)
Toto nyama kanona (Wamoto huyo)
Sasa mimi nitafanyaje (Wamoto huyo)
Naishia kumuona (Wamoto huyo)

Mi bado sijatulia (Nazichanga changa)
Usipagawe jina (Nazichanga changa)
Nitaunda hata rubia (Nazichanga changa)
Ili kukata bima (Nazichanga changa)

Nafanya tu nikupate (Nazichanga changa)
Ili niwe na wewe (Nazichanga changa)
Afya nikuvishe pete (Nazichanga changa)
Uje nyumbani Kinole (Nazichanga changa)

Baby!

Lulu Diva Ft Rich Mavoko – Ona
Lulu Diva Ft Rich Mavoko - Ona (Official Audio) Confira Lyrics, Letra da musica com Video para Ouvir, Aprenda agora a cantar todas ...
Rich Mavoko – Bad Boy
Bad Boy Lyrics Letra: Kuna warembo bila idadi Ila jikinge chae Uko na mfalme ni kama jadi Leo napiga dry Mashup and whine it Jamaican gal, amazing gal Hapendi ...
Rich Mavoko – Niwahi
Niwahi - Rich Mavoko Lyrics Letra: Ni kweli my first time to meet Nаmwonа huyu mwаnа Kаvаа ki-simple kisаnii Ilа mi аmenimurder Kаmа mshаle unichome Mwili ni kаti ...
Rich Mavoko – Kaweka
Kaweka - Rich Mavoko Lyrics, Letra: Niwekeze kwako Upendo nikope Nilegeze macho Nilewe hadi kope Mwenzio, mwenzio Nakitazama kioo Beiby no, beiby no Usitamani lishoo I say(Kaweka) Nikizungusha(Kaweka) Nikiinuka(Kaweka) Kalivyo na mizuka(Kaweka) I say mama ...
Rich Mavoko – Baby Love ft Wizkida
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Rich Mavoko – Wamilele
Wamilele - Rich Mavoko Lyrics Letra: Wengine kando, tetele mchele Sio kazi Hafanyi more, pesa zina matege Kweli muyadharau ni mtama ukutege Sheria msumeno, ke ...
Lulu Diva – Ona ft. Rich mavoko
Lyrics, Letras da Musica Moyo si unge baki nao Nifanye kivuli Ruksa tu unichote nyao Unifunge nitulie tulii, oooohhhh Mwafulani anauliza umenipa nini?,….. Kwa udi na ubani, nimekulia amini Wanao ...
Otile Brown – Kiuno ft Rich Mavoko
Lyrics, Letra: ⦁ Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0">
Rich Mavoko – Ndegele
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Rich Mavoko – Naogopa
Naogopa - Rich Mavoko Lyrics, Letra: Verse 1 This is awesome Freenation Nipige guitar, keyboardi I will sing as well Niimbe tamu melody I will take from there Remember Mtukudzi todii Ukumbuke wee Niforce nilipe ...
%d blogueiros gostam disto: