SUNNY FT NANDY – Navimba

Navimba – SUNNY FT NANDY Lyrics, Letra:
Nimumunye nini?
Ing’ate ing’ate
Sukuma chini
Umate umate

Nyuzi tisini
Nitume nifuate
Nakesha kibindoni tamu
Ifuate ifuate

Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela
Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela

Twanga kama kokoto(Kikaaongoni)
Chezesha na kiboko(Yai nyoni)
Show zetu sio local(Vuka mtoni)
Pita chuchu kwa chuchu(Nipande kilimani)

Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba

(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)

Wataumia koo
Wanaoleta leta mizozo
Wambea wape kisogo
Tulimalize zogo, ooh yaye

Yawabo, yawaboa
Kunidekeza kitoto, yawaboa
Ni mchumba kisha ondoa
Kama madikodiko watakodoa

Pute najiwasha mwenyewe
Peke yako wanikosha mwenyewe iyo
Wanga wanaona gere
Wowowo

Twanga kama kokoto(Kikaaongoni)
Chezesha na kiboko(Yai nyoni)
Pita chuchu kwa chuchu(Vuka mtoni)
Show zetu sio local(Nipande kilimani)

Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba

Twanga kama kokoto(Kikaaongoni)
Chezesha na kiboko(Yai nyoni)
Pita chuchu kwa chuchu(Vuka mtoni)
Show zetu sio local(Nipande kilimani)

Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba

Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela
Ukinigusa chela pina
Nacheka cheka chela

Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba

Nanenepa navimba
Navimba navimba
Nanenepa navimba
Navimba navimba

(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)
(Pipi, piipi)

Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

DanZak – Nidokoe ft. Nandy
DanZak - Nidokoe ft. Nandy Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - ...
Mr Blue – Blue ft Nandy
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Nandy – Dozi
Nandy - Dozi Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this ...
Nandy Featuring Koffi Olomide – Leo Leo
Nandy Featuring Koffi Olomide - Leo Leo Lyrics Letra: Confira Letra da musica com Video para Ouvir, Aprenda agora a cantar todas as ...
Nandy – Nyanyasa
Nyanyasa - Nandy Lyrics, Letra: Aaaah aaaaah unaninyanyasa aaah Unaninyanyasaaaah uuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaaah aaah Uuuh uuuh unaninyanyasaaaah euuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaah Mwili umekonda nimepunguaaah haieleweki ...
Alikiba – Play Boy ft Nandy
Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> letra ...
Number One – Nandy Featuring Joeboy
Number One - Nandy Featuring Joeboy Lyrics Letra: (Kimambo on the beats) Mapenzi ya moyoni mwangu joto baridi Yanapeta kwenye hali kaidi Ndo maana acha mtori ...
Nandy – Magufuli Tena
Nandy - Magufuli Tena Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com EN - [formidable ...
Nandy – Kongoro
Kongoro - Nandy Lyrics, Letra: Umepoteza usikivuuuh haunisikizi tenaaah nani kakuaribu mbona gafla Kulizanaaah wanuna bila sababuuuh waniona me Mtwanaaah ukiwa nami wajifanya bubu kutesanaa. Mapenzi ...
Nandy – Aibu
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song.Add below! letras2.com (Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0"> " ...
Kassim Mganga – InBobo Ft.Nandy X Fid Q
Lyrics, Letra: ⦁ Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song. not found: Submit ...
Nandy – Powerful
Powerful - Nandy Lyrics, Letra: >Nilipotoka nilipona, na vijimateso nilionja. Mola ananiongoza, najiepusha na ulofa. Niko huku Ako kule. Huyu ndio Mungu bwana hawezi vuruga game. Na ...
Ommy Dimpoz x Nandy – Kata
Kata - Ommy Dimpoz x Nandy Lyrics, Letra: (Yogo on the Beats) Yeiyee, wouwooo, yeiyee! Ai, ai, ai, ai Yeiyee, wouwooo, yeiyee! Ai, ai,  Kata, kata, kata kata! Mmmh ...
Nandy – Na Nusu
Na Nusu - Nandy Lyrics, Letra: Yogo on the beats (The African Princess) Shii! Akichekecha nacheketua naye Bandua bwesa ninakesha naye Bingwa wa mitindo sio foreigner Dereva sio ulingo Inashika antenna ...
%d blogueiros gostam disto: