Mamboleo Mshairi
Mamboleo Mshairi X Leteipa the King – Kumekucha Lyrics
Mamboleo Mshairi X Leteipa the King - Kumekucha Lyrics
#INTRO
Iyeiyeeaaah
Uwouwouwooooh
Lalalalalalalalalalaaaaaa
#CHORUS
Kumekucha waambie
Waskie
Usisitize ili wayaskie
Wasichana wa Afrika
Tujivunie
Ukeketaji nao tuutupilie
Kumekucha waambie
Waskie
Usisitize ili wayaskie
Wasichana wa Afrika
Tujivunie
Ukeketaji nao tuutupilie
Kumekucha
Tuwafwate ili kuwaokoa
Na kuwakomboa
Kama...
