Tag Archives: Mbosso

Mbosso – Mtaalam

Mbosso – Mtaalam

Lyrics Letra: Na Mbosso Khan tena  (Sounds by Abbah) Una kila sababu Ya kusimama kimaso maso Mungu kweli wa ajabu Kanionyesha kwa yangu macho Chukua zangu swahabu Mi nibaki na dhambi zako Unishikishe adabu Mida ya kulala nitokwe jasho Mi sijui kupigna mwili wangu wa mapensi dear Tusipende kugombana mi …

Read More »

Mbosso – Kiss Me

Mbosso – Kiss Me

Mbosso – Kiss Me Lyrics Letra: Yes, yes Yeah yeah yeah, yeah Yes, yes Yeah yeah yeah (Kapipo) She says my love is original (Original) She says it’s sweet and digital (Digital) My babe (Koroga) My sweety (Koroga) Give me an award will be Diligent (Stir) My darling (Koroga) Ooh …

Read More »

Mbosso Ft Njenje (Kilimanjaro Band) – Tulizana

Mbosso Ft Njenje (Kilimanjaro Band) – Tulizana

Mbosso Ft Njenje (Kilimanjaro Band) – Tulizana Lyrics Letra: Eeeh, mmmh, eeh Ana vidimple dimple Vishimo shimo mashavuni Mikononi vipiko piko Eti kipini kipo kitovuni Ya nini nibaki kiwiliwili Na kichwa changu ni wewe Iweje pendo kwao liwe pilipili Na twakula wenyewe Mungu kakuumba Mithili ya malaika yayaya Samaki wa …

Read More »

Mbosso Ft Mr Flavour – Sakata

Mbosso Ft Mr Flavour – Sakata

Mbosso Ft Mr Flavour – Sakata Lyrics Letra: (Nusder on the beat) Iyee, ola ola, ola ola We mwana we umefunika nini Funua nione Asa unaninyima nini? Uchoyo ukome Peku peku nidondoshe porini Na miiba zinichome Kwetu maji mengi ya nini Nipe matone Kishati shati piga pasi, ola ola Leo …

Read More »

Mbosso Ft Rayvanny – Pakua

Mbosso Ft Rayvanny – Pakua

Mbosso Ft Rayvanny – Pakua Lyrics Letra: Pakua Lyrics by MBOSSO (It’s S2kizzy beiby) Yii! Aga kana kiuno laini cha kucheza baikoko (Koko) Nikikaona natamani tu nichambe doko (Doko) Na roho kana tatu kwa mbili hapana si kimoko (Moko) Aah-ah! Chenga kwa mwili ka gere John Boko Chii! Eeh ah …

Read More »

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu Lyrics Letra: (Abbah), (Ayolizer) Ishafika saba sasatunakungojea Imebaki miezi miwili tu hebu siku sogea Tuna shauku na bashasha ya kukupokea Sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea Mmmh! Imani yangu inanituma Unanisikia baba yoo (Baba yooyoo) Na furaha yangu dongo kumung’unya Anapobugia …

Read More »

Mbosso Ft Liya – Your Love

Mbosso Ft Liya – Your Love

Mbosso Ft Liya – Your Love Lyrics Letra: Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh Kadada kamenona Nyuma kameumbwa kameshona eeh (It’s S2kizzy beiby) Nataka niimbe na wewe Leo unisikilize kadada Chonde dedede Dede moyo nitulize kadada  Kama ikiwa ya moto Nipe nipulize kadada Mimi bwegege  Gege kwako nimalize kadada Eey …

Read More »

Mbosso Ft Spice Diana – Yes

Mbosso Ft Spice Diana – Yes

Mbosso Ft Spice Diana – Yes Lyrics Letra: [Verse 1 : Mbosso] Maagazi Jutoo Mapenzi Hayagawanyiki Nimepata Pumziko Moyo Haupapatiki Naionja Pepo Ingali Nipo Duniani (Duniani) Nalila Leo Na Kesho Penzi Lipo Siniani (Siniani) Nikunong’oneze Neno Zuri La Mapenzi Unibembeleze Kwa Tungo Na Utenzi Baby Niongeze (Aahhh…) Niongezee Malezi Penzi …

Read More »

Mbosso – Nipo Nae

Mbosso – Nipo Nae

Mbosso – Nipo Nae Lyrics Letra: (Ayolizer) Masikini hana fuba, hana fuba Anazeeka yule mwezangu  Haamini anavyochunda anachunda Nimeondoka na nyota yangu Nafsi ilichoka madhira (Ooh madhira) Ya pundazo na fadhila (Ooh fadhila) Nimempata wa njema dhamira (Ooh dhamira) Wa kufunga magoli si wa bila (Ooh wa bila) Mmmh shata …

Read More »

Mbosso Ft Baba Levo – Kamseleleko

Mbosso Ft Baba Levo – Kamseleleko

Mbosso Ft Baba Levo – Kamseleleko Lyrics Letra: Kamseleleko, kamseleleko  Kamseleleko, kamseleleko  (It’s S2kizzy beiby) Umejipatia danga Limekupa hela ya kupanga (Kamseleleko) Na usiogope wanga Hilo danga ni mganga (Kamseleleko) Limenunuliwa gari Limelipwa mpaka ada (Kamseleleko) Shishi nunua tofali Likajenga nyumba kibanda (Kamseleleko) Umepanda daladala Konda amekusahau (Kamseleleko) Ati kwako …

Read More »