Home / Dancehall / Ya Levis – Penzi ft. Diamond

Ya Levis – Penzi ft. Diamond

Penzi – Ya Levis ft. Diamond Lyrics, Letra:
Upendo haupimwi kwa maneno wala
Unapimwa kwa matendo
Na acha waseme, usiku watalala
Hawatolivunja pendo

Hawatawai….mmmh
Moyo nimekukabidhi
We ndo muhaba ubavuni
Shahidi anga ardhi
Na Mungu baba mbinguni

Najua we ndo dawa yangu

Asa Lala, lala
Asa Lala, lala
Asa Lala, lala
Asa Lala, lala

Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

%d blogueiros gostam disto: