Zuchu – Ashua Ft Mbosso

Ashua – Zuchu Ft Mbosso Lyrics, Letra:

Aaah aah, naa aaah ooh

Mocco

Marahaba, marahaba habibi

Dunda kwa mama ngala kupachua

Oooh, mahaba, mahaba yamzidi

Kindi muchanga chaku chachua

Mmmh, tamu zaituni, tunda la peponi nalila (Nalila)

Game ya sakafuni, tunadundisha na kipira (Kipira)

Napewa penzi sabuni, linalonitakasa madhira

Huniita hunny hayuni, mkali wa tatu bila (Bila)

Upepo wa pwani, umenipeleka bara

Niongoze usukani kwenye penzi barabara

Wakati wako tamba

Ashua he, ashua ashu, ashua

Okey beiby jishongondoe

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua ashua ashu ashua

Lololo lolololo

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Tuwachome mapaka shume

Ooooh ooh ooh ooh ooh

Kweli, mambo mazuri, hayataki haraka ooh, haraka ooh mmh

Kwa dua nimesubiri, nimepewa nilichotaka ooh, nilichotaka oooh mmh

Penzi linaninogesha (Noga)

Nampa mchicha ale (Noga)

Vinono vya kunenepesha (Noga)

Sambusa ya nyama tele (Noga)

Kisha namchangamsha (Noga)

Namchezea segere (Noga)

Mwali kujineng’emsha (Noga)

Huku napiga kelele (Aaah aah aah)

Upepo wa pwani, umenipeleka bara

Wewe wangu usukani, kwenye penzi barabara

Wakati wako tamba

Ashua he, ashua ashu, ashua

Okey beiby jishongondoe

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua ashua ashu ashua

Lololo lolololo

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Wakikuuliza mbona huonekani

Tunacheza solo na zumari ndani

Kuingiza kete shimoni

Tunacheza solo na zumari ndani

Makopa kopa kwa malavidavi

Tunacheza solo na zumari ndani

Michezo ya karata kulambishwa mavi

Tunacheza solo na zumari ndani
Letra lyrics lyric letras versuri musiek lirieke tekstet paroles

Mbosso – Wcb Wasafi
Lyrics, Letra: ⦁ Song Lyrics Not Available: Send the lyrics of this song. In the form ⦁ A letra desta musica não está disponível, Envie no formulário ...
Zuchu – Nisamehe
Nisamehe - Zuchu Paroles, Lyrics, Letra: Kukuhin,i kusokwisha umeangukia pemani Roho ya ni, dadarika, kashantoka shetwani Nimeumbiwa makosa, mwanadamu na mimi Moyo umekunja ndita, nikumiss jamani Ngumu ...
Otile Brown – Pole ft Mbosso
Lyrics, Letra: Song lyrics not found: Submit the lyrics of this song. In the form! letras2.com Lyrics width="640" height="825" marginheight="0" marginwidth="0">
Nimekuzoea – Mbosso
Lyrics, Letras da Musica Hujaacha tobo Uliloniachia ni bonge la tundu Sina nyendo Mama kaninunia Nahisi gundu Nakunywa gongo Najisaidia nguoni aibu Uuh mwalongo Kitanda changu ndio chooni Wewe ndio sababu uuh Butuu mobimba ...
Mbosso – Sina Nyota
Mbosso - Sina Nyota Lyrics Letra: Mokko Mwenyewe anaona sawa ila mwambie Mime ananiumiza sana Ni zaidi ya kupagwa siponi ugonjwa Na nishamaliza dawa Aahhh ahhh Ahh ahh ah Na ...
Zuchu, Nandy – Nafahidi
Zuchu, Nandy - Nafahidi Lyrics Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing ...
Zuchu – Hakuna Kulala
Hakuna Kulala - Zuchu Lyrics, Letra: (Black) Lalalala lala, lala lala Mmmmh Namvuta faraghani Tunatubu tubu ndani Namtazama simwishi Namkanda ma mbavuni Nitayainua majeshi Vita nichague mimi Aanze Bangladeshi Amalizie Sudani Lalalala ooooh, aah ...
Alele – Mbosso
Lyrics, Letras da Musica Hhhhmm Oooh Ooooh Oh! Iyooo Lizer Hhhmm Nyama zetu za ulimi Zikikutana asali Bonyea chini Chagama kama tayari Leo tule nini Mihogo ya Coco kwa kachumbari Si unanjuaga mimi Kitandani huwa ...
Mbosso – Tamba
Tamba - Mbosso Lyrics, Letra: (Nusder) Pasha maji weka moto Tandika jamvi naja nyumbani Nimekuletea zawadi Kijora cha mkopo Futa la nazi ujipare honey Na vijisabuni vya Magadi Nguru usimtoe ...
Mbosso – Ate
Ate - Mbosso Lyrics, Letra: Verse 1 Nataka longa na Wewe Nikufunze Mapenzi Mwenzako nayajua Nataka sema nawe Nikufunze Penzi Mimi ninalijua Nipe nikubembeleze Kama mtoto ng'ara Kwa raha zako ujinenepee Nikushike Pendo lisiteleze ...
Mbosso – Nipepee (Zima Feni)
Nipepee (Zima Feni) - Mbosso Letra, Lyrics: Eh Wallah, Mungu kanipa nilichomuomba mashallah (rahaaa) Na wala si shiriki kubatula unanisongaa nalalala Jamani (rahaaa) Nitakulinda kwa ku noti Nittapingana ...
Wcb wasafi – JIBEBE ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava
JIBEBE - Wcb wasafi ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava Lyrics, Letra: Asa jibebe bebe Embu jibebe bebe Si ujibebe bebe Oya jibebe bebee Asa jibebe bebe Embu jibebe ...
Zuchu – Sukari
Sukari Lyrics Eyoo Trone (Ayolizer) Verse 1: Zuchu Eti nimemlambisha Ananiambia chombeza (Chombeza) Tena nikiizidisha Ananiambia koleza (Koleza) Nikitaka kusitisha Ananiambia ongeza (Ongeza) Japo imedhibitishwa Ila itampoteza Hook: Zuchu Ikipanda ni balaa (Naogopa) Ikishuka ndo hatari (Naogopa) Asijepata madhara ...
Zuchu – Tanzania Ya Sasa
https://www.youtube.com/watch?v=A9gF_Xu0CBs Zuchu - Tanzania Ya Sasa Lyrics, Letra: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing ...
%d blogueiros gostam disto: