Nampenda Yeye – Adasco M2 M’bad Lyrics
Aaaanh aaanh
Weeeeeh
AMM
Kwa majina naitwa
Sinakitu nitunuku tukaenjoy
Na kama ukibisha kamulize Joy show zangu kali wewe
Vanny wa vina
Nampenda yeye
Ye ndo yeye
Wala siwezi kwenda kwa mwengine
Ye ndo yeye
Wote wanajua nipo na yeye
Ye ndo yeye
Wala siwezi kwenda kwa mwengine
Ye ndo yeye
Wote wanajua nipo na yeye
Ananipa nachotaka nampa
Nyavu nazitikisa toto linafikishwa
Ni full patashika mashuka kuchanika
Nyashi anavyotikisa nami nautikisa tikisa
Namwita njoo usiumize roho
Nishiki nikushike dolemigo
Mapenzi shikamoo
Wewe mtoto no
Yani umeniteka na hawanipati ng'oo
Mwenzenu mie
Namwita mama watoto
Mie
Aniletee watoto
Mie
Yeye ndio wa kunipa joto
Mie
Kazoea changamoto
Fundi wa kitandani kwenye purukushani
Wewe ndio unaniweza mama
Niko hoi taabani umeniteka Vanny mpaka nawwaga jamaa
Yeyeiyeeehhh
Nampenda yeye
Wouwoooohhh
Namtaka yeye
Yeyeiyeeehhh
Nampenda yeye
Wouwoooohhh
Nampenda kinoma noma noma noma noma
Akiniacha itakuwa noma noma noma noma
Nampenda kinoma noma noma noma noma
Akiniacha itakuwa noma mamaaaaaah
Wezeeeeehhhhh
Au hujaipenda hiyo
Unakabwa na tonge unasingizia masela
Nampenda yeye
Ye ndo yeye
Wala siwezi kwenda kwa mwengine
Ye ndo yeye
Wote wanajua mi nipo na yeye
Ye ndo yeye
Wala siwezi kwenda kwa mwengine
Ye ndo yeye
Wote wanajua mi nipo na yeye
Penzi lake tamu mpaka nahisi uchungu
Mtoto kazaliwa ama kashushwa kwa Mungu
Wabongo penzi kake kakizungu
Saruti kwako mamy umepata tuzo ya utundu
Kanigea moto kanitoa baridi
Nikaacha utoto nikajiona zaidi
Mapenzi kipima joto kanipima baridi
Ulipo na mimi nipo kikubwa nifaidi
Wenye roho kutu penzi aliwahusu
So Kajala na Konde ili penzi
Mondi na Zuchu
Na wasithubutu si wanapenda kubang
Mwisho connection za utupu
Yeyeiyeeehhh
Nampenda yeye
Wouwoooohhh
Namtaka yeye
Yeyeiyeeehhh
Nampenda yeye
Wouwoooohhh
Nampenda kinoma noma noma noma noma
Akiniacha itakuwa noma noma noma noma
Nampenda kinoma noma noma noma noma
Akiniacha itakuwa noma mamaaaaaah
Aaahhhh PK hapa Wizz Boy wante
Yaaaahhh This is America love
Wanangu uyo mtoto uyo binti uyo
Mchumbaangu mimi kwanza ni mtu hatari
Uyo mtoto uyo binti uyo
Nikito zigi kwanza ananipa kali
Kwanza nikipiga simu analeta mapozi
Nikiuliza uko wapi niko Mabibo nakozi
Asharara babosika nakemea kwa lugha saba
Mpaka aitwe mama na mimi niitwe baba
Marafiki zake nawaona makaaba
Matozi musimfate ntakuja niwapige shaba
Hasarareee hasara roho
Ila mimi kwako wewe bora nitoke roho
Unajua mama weeeeh unanipoza roho
Kila mtu ananijua Wizz Boy Commandoo
Yani Wizz nimepinda
Wizz sindio ninja
Nina kesi za kuuua
Mpaka za kuchinja
Ila wewe unanipenda mimi
Na mimi nakupenda wewe
Yani yeye ananitaka mimi
Na mimi namtaka yeye
Aahh sitaki mwengine
(Namtaka yeye)
Mi sipendi mwengine
(Nampenda yeye)
Mi sitaki mwengine
(Namtaka yeye)
Mi sipendi mwengine
(Nampenda yeye)
Yeyeiyeeehhh
Nampenda yeye
Wouwoooohhh
Namtaka yeye
Yeyeiyeeehhh
Nampenda yeye
Wouwoooohhh
Nampenda kinoma noma noma noma noma
Akiniacha itakuwa noma noma noma noma
Nampenda kinoma noma noma noma noma
Akiniacha itakuwa noma mamaaaaaah
Respect sapota Nchimbi
Liu Keng mzee baba baba
Brother The Sun
Hii biti ya Adasco bhana
Mungu Baba Mungu uliye juu mbariki sana mama yake na mie
Mama yake na Samawest Defao
Nampenda Yeye – Adasco M2 M'bad: canção romântica escrita por Adasco M2 M'bad, lançada em 16 de julho de 2026, celebra amor e ritmo dançante.











