Nisamehe – D Varane Lyrics
Silimisha, acha basi
Sikiliza
Nisamee mimi
Nisamee mimi
Nisamee mimi
Nisamee mimi
Moyo umekunje
Ndiita kwa kumiss yeye
Jasho linitiririka
Kasha niacha mwenye
Yule ndo wangu si nyolita
Kashafanya milewe
Nimeumbiwa makosa
Naomba nisamehewe
Kinachoniuma kichwa
Nitake nini nisipewe?
Yaani aliniliza
Nikajisahau mwenye
Nilichotaka alinipa
Nikajisahau mwenye
Nimeumbiwa makosa
Naomba nisamehewe
Nisamee mimi
Nakupenda wewe
Nisamee
Usiniache mwenyewe
Nisamee mimi
Nakupenda wewe
Nisamee
Usiniache
Kanichanganya akili
Mpaka mifupa
Nilivyomfanyia
Leo sasa ndo najuta
Yaani silali
Kila nikimkumbuka
Taswira yake
Imebaki kwenye kichwa
Harufu yake
Imebaki kwenye mashuka
Kumsahau siwezi
Yaani kabisa
Kwenye maisha yangu
Kumbe alipita
Kwenye maisha yangu
Kumbe alipita
Kanikondesha
Sasa nimebaki kichwa
Apo mwenyewe
Sindivyo kalizika
Apo mwenyewe
Sindivyo kali
Kali
Kali
Kalizika
Nisamee mimi
Nakupenda wewe
Nisamee
Usiniache mwenyewe
Nisamee mimi
Nakupenda wewe
Nisamee
Usiniache
Nisamehe, de D Varane: balada de arrependimento. Compositor: D Varane. Lançamento: 2 de julho de 2026.











