Harmonize – Hallelujah ( Lyrics) Letra Harmonize Harmonize – Hallelujah ( Lyrics)
Halleeelujah Hallelujah Hallelujah Hosanna
Haaa…Hallelujah Halleluuuu…Hallelujah Hallelujah Hosanna
Halleeelujah Hallelujah Hallelujah Hosanna
(Mmmh)
(Cough)
Wee Ishi Kama Haukosei Watalao Panga Halitokei Na Kama Ikiwa Yako Haipotei
Mmmh Ndo Wa Juu Huwaga Haongei Ukipata Wanasema Unaringa Ukifulia Wewe Mjinga
Wamezaliwa Kupinga Hata Apangalo Babaa Ah Ebwana Fanya Unachokipenda
Mradi Masiku Yanakwenda Mkono Kinywani Unakwenda Mshukuru Mungu Babaa
Haaa…Hallelujah Hallelujah Hallelujah Ooh Hosanna
(Halleeelujah Hallelujah Hallelujah Hosanna)
Haaa…Hallelujah Halleluuuu…Hallelujah Hallelujah Hosanna
(Halleeelujah Hallelujah Hallelujah Hosanna)
Piga Kila Deal Inayopay Iwe Mbagala Osterbay Hakikisha Kazi Huichezei
Maana Boss Aah Punguza Uongo Ukiweza Kupunga Na Hongoo
Usiendekeze Migongoo Dhambi Kwa Mungu Babaa
Ah Ebwana Fanya Unachokipenda Mradi Masiku Yanakwenda
Mkono Kinywani Unakwenda Mshukuru Mungu Babaa
Haaa…Hallelujah Hallelujah Hallelujah Ooh Hosanna
(Halleeelujah Hallelujah Hallelujah Hosanna)
Haaa…Hallelujah Halleluuuu…Hallelujah Hallelujah Hosanna
(Halleeelujah Hallelujah Hallelujah Hosanna)
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog