No menu items!
More

    Lyrics Anjella – Sina Bahati

    Anjella

    Mmmmh… mmh oh yeah yeah yeah yeah

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni sikujua
    We nenda salama mi najiuguza
    Wameshakurubuni fadhila zangu huzioni natambua
    Siwezi kung’ang’ana ushanipunguza

    Hee ninajihisi bahati sina
    Sahau yote ya jana
    Bora ungesema mapema kama kuna kosa nilokutendea
    Uliniahidi utanilindia heshima, hutaifanya danga
    Kumbe hata yale maneno mazuri uliyosema uliongopea

    Ooh Baba! Kumbe siri ya mtungi aijuaye kata
    Ooh Baba! Moyo umeumbwa kupenda mwingine nitapata
    Ooh Baba! Yakiisha mavumbi mafua yatakata
    Ooh Baba! Na ukweli haufungwi kwenye penzi la balaa

    Sina bahati, sina bahati
    Sina bahati, sina bahati
    Nilishajaribu kufosi hadi kupiga ndele (Sina bahati)
    Ila bado nimikosi acha niende mbele

    Eh sishindani na upepo kwa mbio
    Limenikosa sikio
    Mie kichwa nijigeuze kalio
    Bure nitajiumia

    Mizani haipimi kulia
    Shetani amеlibamia
    Siku hizi anajiita fagio
    Anawamaliza eeh

    Mwili wema wangu umeniponza
    Ni mifupa nono kulifyonza
    Umeniacha njia panda mi naoza
    Bila huruma

    Masikini moyo umеnichonza
    Jahazi lazama ye nahodha
    Mateso kila likichomoza
    I wish siku zirudi nyuma

    Ooh Baba! Kumbe siri ya mtungi aijuaye kata
    Ooh Baba! Moyo umeumbwa kupenda mwingine nitapata
    Ooh Baba! Yakiisha mavumbi mafua yatakata
    Ooh Baba! Na ukweli haufungwi kwenye penzi la balaa

    Sina bahati, sina bahati
    Sina bahati, sina bahati
    Nilishajaribu kufosi hadi kupiga ndele (Sina bahati)
    Ila bado nimikosi acha niende mbele
    Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

    Advertisement

    Kenia OS – La OG

    La OG Lyrics by Letras Kenia OS Yo...

    Kenia OS – Kitty (part....

    Kitty (part. La Joaqui) Lyrics by Letras ...

    Kenia OS – Big Bang

    Big Bang Lyrics by Letras Kenia OS (K...

    Kenia OS – VIP (part....

    VIP (part. Villano Antillano) Lyrics by Letras ...

    Kenia OS – Solo Una...

    Solo Una Vez Lyrics by Letras Kenia...

    Kenia OS – Es Así

    Es Así Lyrics by Letras Kenia OS Quizás,...

    Anjella ft. Harmonize – Toroka

    Toroka - Anjella, Harmonize Lyrics Letra: Iyeleleleleleleleee, Anjella Nasema party halinogi bila pisi kali Mi siwezagi kucheza bila kunywa vikali Kama umekuja na danga lako liweke mbali Shoga...