Lyrics Leteipa the King – Naila

Lyrics Leteipa the King – Naila
#INTRO
Mhhhhhhh
Ni Vampk
254
Big Daddy..

#VERSE
Siku hizi namea kitambi,
penzi tamu unalonipa.
Kama kukupenda ni dhambi,
mbinguni kamwe sitofika.
Unanifanya niwe chongo,
kipenzi weeh,
Siku hizi wengine siwaoni.
Unaponigusa mgongo,
sihemi babe,
utamu hadi kisogoni.

#HOOK
Ukinibusu kwapani
kijasho chanitoka,
nahema na maskio
(Aeeeeeh)
Usiruhusu jirani
waonje yangu soda,
utanikondesha mwenzio

#CHORUS
I hope you know
(Naila)
You are my one and only girl
(Naila)
And I love you so much
(Naila Anyoor)
You are my ombitho
(Naila)
The words on every song
(Naila)
Na sikushei ngo’
(Naila Anyoor)

And I will sing
waskie
(Aeeeeeh)
That you are my Queen
wavimbiwe
(Aeeeeeh)

#VERSE
Nitakupa unachotaka
hata iwe uridhi wangu,
nyumba shamba pengine.
Na hizo pesa zikikata
tutauza figo zangu,
juu ntamea zingine.
Kwako napata vinono,
Mgandogando ngurunyi.
Yeaaah.
Yaani chapati madondo
Avocado thufu NDI!
I hope you know

#HOOK
Ukinibusu kwapani
kijasho chanitoka,
nahema na maskio
(Aeeeeeh)
Usiruhusu jirani
waonje yangu soda,
utanikondesha mwenzio

#CHORUS
I hope you know
(Naila)
You are my one and only girl
(Naila)
And I love you so much
(Naila Anyoor)
You are my ombitho
(Naila)
The words on every song
(Naila)
Na sikushei ngo’
(Naila Anyoor)

And I will sing
waskie
(Aeeeeeh)
That you are my Queen
wavimbiwe
(Aeeeeeh)

%d blogueiros gostam disto: