Marioo – Sing Lyrics

Marioo – Sing (Officia Letra ) Letra Marioo Lyrics Marioo – Sing (Officia Letra )
Moyo kwako umekaa kaa oweyoo

Kila ukidunda Paa paaa oweo

We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo

Waniwezaga oweo

Usifanye njia kwamba umenipitia

Utaniumiza dear

Nami mwanadamu mwenye moyo

Na majonzi pia

Si unasikia kulialia

Ndo nnachokihofia

Kama ushanigonga basi nionee

Huruma usiongeze gear

Uuuh nanana uwepo wako

Mi mwenzako naenjoy

Uuuh nana yani kwako

Nyang’anyang’a nipo hoi

Oooh nanana mi kwako sisemi

Sikohoi

Oooh nanana si unajua moyo

Moyo wangu kwako umekaa ka ka oweo

Kila ukidunda Paa paaa oweo

We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo

Waniwezaga

You dey make me sing

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby Aaahh

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby you dey make me sing

Yani mpaka ladha zao

Za zamani nimesahau

Mesahau

Sura zao za zamani nasahau

Nasahau

Maana nikisikia kuhusu upendo

Nakuwaza wewe tu mahabuba

Na nikitakaga upendo

Nawaza lako tu huba

Na tukikwenda kwenye tendo

Unanifikishaga mpaka Cuba

Unakabaga uachi pengo

Si unajua

Moyo wangu kwako umekaa ka ka oweo

Kila ukidunda Paa paaa oweo

We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo

Waniwezaga

You dey make me sing

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby Aaahh

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby you dey make me sing

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby Aaahh

Aaaah Aaaah Aaaaah

Ona naimba

Baby you dey make me sing
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

Mais de Marioo

Advertisement

Mais Letrasas

Marioo – Asante Lyrics

Marioo - Asante ( Lyrics) Letra...

Marioo Feat. Mr Nice – Shisha Lyrics

Marioo Feat. Mr Nice - Shisha...

Marioo Feat. AliKiba – Love Song Lyrics

Marioo Feat. AliKiba - Love Song...

Marioo & Alikiba – Love Song (Audio) Lyrics

Marioo & Alikiba - Love Song...

Marioo LETRA – Manyaku ✓

Manyaku Lyrics Marioo Blacq, Blaq They Call me Toto...

Marioo LETRA – Dar Kugumu ✓

Dar Kugumu Lyrics Marioo (Ah Bah) Nana nana... Dar kugumu...

Marioo LETRA – Wauwe ✓

Wauwe Lyrics Marioo Dengula nyonga msokoto Maana mimi nimekuja...

Marioo x Jovial – Mi Amor

Mi Amor - Marioo, Jovial Lyrics...

Categoria

Marcelo Brayner – Precioso

Precioso - Marcelo Brayner Letra, Lyrics:...

MILO J – DESEO PERDER [INTERLUDIO] Letra

MILO J - DESEO PERDER ...

MILO J – SINCERA TE Letra

MILO J - SINCERA TE Letras,...

Masicka, Chronic Law, Lila Iké – Triumph Lyrics

Masicka, Chronic Law, Lila Iké -...

Micro TDH – UKIYO Letra

Micro TDH - UKIYO ( Lyrics...

Marc Seguí – Muuurakami Lyrics

Marc Seguí - Muuurakami Letras,...

Minelli – picpocpac Lyrics

Minelli - picpocpac | Lyrics...

MC Cabelinho – Carta Aberta Letra

MC Cabelinho - Carta Aberta Letra MC...

MC CEJA – SOPLAMOCO Letra

MC CEJA - SOPLAMOCO (VIDEO OFICIAL)...

Misael – 10x Mais Forte Letr

Misael - 10x Mais Forte Letras,...

Quem É Ela – Mariana Nolasco Letra

Quem É Ela | Mariana Nolasco...

MC HARIEL – COMO ESTAVA IMAGINANDO Letra

MC HARIEL - COMO ESTAVA IMAGINANDO...