10k Degreez
Sunny Voice – Ndo Yeye (Lyrics & Video)
Ndo Yeye - Sunny Voice Lyrics
Anasema anitaki
Ndo kabisa kanichoka
Eti ana danga jipya
Kamuahidi Vitz Rosa
Nampenda ila basi
Naisi nishamkosa
Aliyenaye ana noti
Mi kapuku kanitosa
Natamani hata pesa
Yani zingekuwa majani
Nizichume nimuonge
Hata...
