No menu items!
More

    Zuchu – Naringa Lyrics

    Zuchu – Naringa ( Lyrics Letra ) Letra Zuchu Zuchu – Naringa ( Lyrics Letra )
    Sing mmmhh eeeehh
    Let sing, comeon eeh

    Sioni aibu, kwa kila linalonifika
    Mana kukosea ni wajibu
    Mola ameshaandika
    Na sianguuki, mimi nimechaguliwa
    Nnae mtegemea hachooki
    Hajawahi kupitiwa
    Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
    Vinanipa ujasiri
    Nakua gado kamili
    Ukitaka kunidhuru mie
    Upite kwakwe kwanza
    Mungu wangu halali
    Ana ulinzi mkali
    Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa
    Nalindwa na mungu
    Msinione navimba navimba navimba navimba navimba
    Nalindwa na mungu
    Raise your glass
    Cheers to the Lord

    Roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu
    Wala mtu mwenye maarifa
    Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
    Mtayasema nikifa aaeh
    Unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba
    Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng’o
    Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
    Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo
    He
    Na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh
    Nnae mtegemea hachooki
    Hajawahi kupitiwa
    Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
    Vinanipa ujasiri
    Nakua gado kamili
    Ukitaka kunidhuru mie
    Upite kwakwe kwanza
    Mungu wangu halali
    Ana ulinzi mkali
    Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa
    Nalindwa na mungu
    Msinione navimba navimba navimba navimba navimba
    Nalindwa na mungu
    Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

    Advertisement

    Roro Harb – Asmar...

    Roro Harb - Asmar Nutella ( Lyrics) | رورو...

    Feid – Alakran Lyrics

    Feid - Alakran ( Lyrics) Letra FeidVEVO Feid -...

    蕭敬騰 Jam Hsiao 《白夜》...

    蕭敬騰 Jam Hsiao 《白夜》 Lyrics Letra Letra...

    Velet – Umudunu Kesme...

    Velet - Umudunu Kesme ( Lyrics ) Letra VELET...

    Chi Pu | HOA...

    Chi Pu | HOA DƯỚI MẶT TRỜI ( Lyrics...

    D Voice Ft Zuchu...

    D Voice Ft Zuchu - BamBam ( Lyrics...

    Zuchu – Chapati Home Dance Challenge

    Zuchu - Chapati Home Dance Challenge Letra Zuchu Zuchu - Chapati Home Dance Challenge Check out the lyrics the full song with official video to...

    Zuchu – Chapati Lyrics

    Zuchu - Chapati ( Lyrics Letra ) #2023 Letra New Letra Tz • 675k views • 5h ago Dullah dullah dullah anataka...

    Zuchu – Honey Lyrics

    Zuchu - Honey ( Lyrics) Letra Zuchu Zuchu - Honey ( Lyrics) Nampenzi wangu honey Simuoni tafrani namwita honey haonekani Honeey Honey Honeey Honey Honeey Honey Honeey Aah honey Nakupendaa honey we unanitesaa (Hahah basi inatosha...

    Zuchu – Mwambieni

    Zuchu - Mwambieni Lyrics: Check out the lyrics of the full song with official video to listen to, Learn to sing this song....