Yammi – Tunapendezana Lyrics

Tunapendezana Lyrics

Yammi
Acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi
Ahsante Mwalimu, Mwalimu wa mapenzi
Sogea niku non’goneze neno zuri la mapenzi
Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi

Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
Mimi oo oo
Baby ooo ooo

Tume pendezaa tuna pendezana
Aaaaah!! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aaaah!! Tume pendezana

Hata kama wakisema una machafu mengi
Siyaoni nimekwama shimo la mapenzi
Mi kwako nisha tulizana ku n’goka siwezi
Mimi ooo ooo
Ooo ooo

Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
Mimi oo oo
Baby ooo ooo

Tume pendezaa tuna pendezana
Aaaaah!! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aaaah!! Tume pendezana

%d blogueiros gostam disto: