No menu items!
More

    Yammi – Namchukia Lyrics

    Namchukia Lyrics

    Yammi
    Uzuri si hadidhiwi nayaona
    Haya aapa nayaona
    Mabaya yako kwa macho yangu nayona

    Sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea
    Nime kuzoea sidhani kama ntapona
    Napiga simu namba inatumika kila dakika
    Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
    Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
    Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

    Wallahy namchukia kumfahamu najutia
    Wallahy namchukia kumfahamu najutia

    Unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana
    Si unapenda hivi navyo lia na ku n’gan’gana
    Haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana
    Nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya

    Sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea
    Nime kuzoea sidhani kama ntapona
    Napiga simu namba inatumika kila dakika
    Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
    Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
    Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

    Wallahy namchukia kumfahamu najutia
    Wallahy namchukia kumfahamu najutia

    Advertisement

    Kenia OS – La OG

    La OG Lyrics by Letras Kenia OS Yo...

    Kenia OS – Kitty (part....

    Kitty (part. La Joaqui) Lyrics by Letras ...

    Kenia OS – Big Bang

    Big Bang Lyrics by Letras Kenia OS (K...

    Kenia OS – VIP (part....

    VIP (part. Villano Antillano) Lyrics by Letras ...

    Kenia OS – Solo Una...

    Solo Una Vez Lyrics by Letras Kenia...

    Kenia OS – Es Así

    Es Así Lyrics by Letras Kenia OS Quizás,...

    Yammi – Hanipendi Lyrics

    Hanipendi Lyrics Yammi Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako Maana mi naupenda moyo wako Nime muonaaa dah.. ume mpost mtu wako Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo Nateswa na baridi silalii na weweseka Kulikosa...

    Yammi – Tunapendezana Lyrics

    Tunapendezana Lyrics Yammi Acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi Ahsante Mwalimu, Mwalimu wa mapenzi Sogea niku non'goneze neno zuri la mapenzi Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi Nyoyo zetu zime...