No menu items!
More

    Yammi – Tunapendezana Lyrics

    Tunapendezana Lyrics

    Yammi
    Acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi
    Ahsante Mwalimu, Mwalimu wa mapenzi
    Sogea niku non’goneze neno zuri la mapenzi
    Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi

    Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
    Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
    Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
    Mimi oo oo
    Baby ooo ooo

    Tume pendezaa tuna pendezana
    Aaaaah!! Tume pendezana
    Tuna pendezaa tume pendezanaa
    Aaaah!! Tume pendezana

    Hata kama wakisema una machafu mengi
    Siyaoni nimekwama shimo la mapenzi
    Mi kwako nisha tulizana ku n’goka siwezi
    Mimi ooo ooo
    Ooo ooo

    Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
    Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
    Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
    Mimi oo oo
    Baby ooo ooo

    Tume pendezaa tuna pendezana
    Aaaaah!! Tume pendezana
    Tuna pendezaa tume pendezanaa
    Aaaah!! Tume pendezana

    Advertisement

    Kenia OS – La OG

    La OG Lyrics by Letras Kenia OS Yo...

    Kenia OS – Kitty (part....

    Kitty (part. La Joaqui) Lyrics by Letras ...

    Kenia OS – Big Bang

    Big Bang Lyrics by Letras Kenia OS (K...

    Kenia OS – VIP (part....

    VIP (part. Villano Antillano) Lyrics by Letras ...

    Kenia OS – Solo Una...

    Solo Una Vez Lyrics by Letras Kenia...

    Kenia OS – Es Así

    Es Así Lyrics by Letras Kenia OS Quizás,...

    Yammi – Hanipendi Lyrics

    Hanipendi Lyrics Yammi Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako Maana mi naupenda moyo wako Nime muonaaa dah.. ume mpost mtu wako Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo Nateswa na baridi silalii na weweseka Kulikosa...

    Yammi – Namchukia Lyrics

    Namchukia Lyrics Yammi Uzuri si hadidhiwi nayaona Haya aapa nayaona Mabaya yako kwa macho yangu nayona Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea Nime kuzoea sidhani kama ntapona Napiga simu namba...