Harmonize – Tena ( Lyrics) Letra Harmonize Harmonize – Tena ( Lyrics)
Mapenzi nayajua
Nje ndani
Ya walimwengu si unayajua
Badi tuombee dua
Mbona litakuwa
Apangalo Maanani
And i just wanna make you my beibe
And marry you today
Coz i love you everyday
Forever and ever
Uuuuuh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And I’m ready kula kiapo
Siwezi tabasamu usipo nilipo
My Boo
Tena nishapenda
Am In love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena
Nishapenda
Am in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Yeah in a life kuna kupanda
Na kushuka
Na kuteleza si kuanguka
Ma X mtabaki kunikumbuka
Maana raundi hii
Sijakurupuka
Nina uhakika
Pili kwake nimefika
Tatu ye ndo anayepika
Mi napakua
Yeah wapo wanaodhani umeniroga
Ukinipa chakula unanipa na mboga
Mahaba yanamiminika tunaoga
Na baby Iiiiiih
And i just wanna make you my beibe
And marry you today
Coz i love you everyday
Forever and ever
Uuuuuh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And I’m ready kula kiapo
Siwezi tabasamu usipo nilipo
My Boo
Tena nishapenda
Am In love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena
Nishapenda
Am in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Tena nishapenda
Am In love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena
Nishapenda
Am in love
Nimependa tena
Ndo nishapenda
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog