Kontawa: Wewe ( Lyrics ) Letra kontawa Kontawa: Wewe ( Lyrics )
a ni kweli pesa Sina nacheza michezo ya
Bati nasibu Nami
nakoma nishike vipesa Kama Kina nasibu
madui ya wajina yamaliza vichenj Kila
nijaribu Hivi Leo nitakula kweli
namuuliza mwanangu Ibrahim wjibu kuna
wanangu wavuvi Bali ni wanavyowafish eh
Ila wakipata pesa kidogo mtaani
wanavyowapish eh hakuna huyo fundu jenzi
babu magege Yeye kutwa anabeba zege Ila
ukimwambia njoo kuna mabebe anakuja na
fuko la chipsi zeke ni kweli walichoncho
hatuna na Bado tuko geto tuna Ho midomo
tumepewa Kuta funa kwa Nini tuishe Kula
kwa macho mwendo wa kukesha nao Kama Poo
tukijichanganya na watoto tunasahau
shida na changamoto ni mwendo wa mitungi
na misokoto wewe
we wewe we ah wewe we ah wewe
Yani ah we ah wewe we ah wewe we ah
wewe
mwanangufu ni gereji anatembea na sppana
badala akazenati akiona mademu wawaza
kukazana wanangu machinga na boda boda
wachimba Madina wabeba boda Waze wa
kusamia wa kuvuka boda kwenye kutumia
tunaaga uoga kitupa ushauri na saa
tunachukua saa kutafuta shida kutumia ra
Hata sopenda Amani anapenda Pisi Baba
yaani nyumba inapaa ndege inapaa ni
kweli walichoncho hatuna na Bado tuko
geto tuna Ho midomo tumepewa kutafuna
kwa Nini tuishe Kula kwa macho mwendo wa
kukesha nao Kama Popo tukijichanganya na
watototo tunasahau shida na changamoto
ni mwendo wa mitungi na misokoto wewe ah
we ah wewe we ah wewe we ah wewe yaani
party after party ah we ah wewe we ah
wewe we wewe y party after
Song lyrics UPDATE: Submit the lyrics of this song.In the form! letras2.com
[formidable id=4]
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog