Jay Melody_Nitasema (Official Video) Lyrics
Si unitoke
hata mara moja
akilini mwangu
ohh mara moja
ni nayo pitia ni kama umeniroga
haya mapenzi yamenipa gonjwa
japo sijawahi kuambia jinsi ninavyo kuota
nakuzimia moyo umeuokota
hii dunia nimempenda mmoja
hizi hisia nitakwambia how i feel
para ra ra raaah
how i feel
para ra ra raah
nitasema mi
para ra ra raaah
how i feel
para ra ra raah
nitasema mi
ooh, na vitu vyako vinachanganya
oo,unigusapo kwisha mwenzio
ooh, you are magnet-oh unanivuta hapo
utanitoa roho jamani
unanikosha unaniwasha unalia paah moyo wangu
unanikosha unaniwasha unalia paah mmh
japo sijawahi kuambia jinsi ninavyo kuota
nakuzimia moyo umeuokota
hii dunia nimempenda mmoja
hizi hisia nitakwambia how i feel
para ra ra raaah
how i feel
para ra ra raah
nitasema mi
para ra ra raaah
how i feel
para ra ra raah
nitasema mi
unanikosha unaniwasha unalia paah mmh
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog