Marioo – Sing Lyrics

Marioo – Sing (Officia Letra ) Letra Marioo Lyrics Marioo – Sing (Officia Letra )
Moyo kwako umekaa kaa oweyoo

Kila ukidunda Paa paaa oweo

We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo

Waniwezaga oweo

Usifanye njia kwamba umenipitia

Utaniumiza dear

Nami mwanadamu mwenye moyo

Na majonzi pia

Si unasikia kulialia

Ndo nnachokihofia

Kama ushanigonga basi nionee

Huruma usiongeze gear

Uuuh nanana uwepo wako

Mi mwenzako naenjoy

Uuuh nana yani kwako

Nyang’anyang’a nipo hoi

Oooh nanana mi kwako sisemi

Sikohoi

Oooh nanana si unajua moyo

Moyo wangu kwako umekaa ka ka oweo

Kila ukidunda Paa paaa oweo

We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo

Waniwezaga

You dey make me sing

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby Aaahh

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby you dey make me sing

Yani mpaka ladha zao

Za zamani nimesahau

Mesahau

Sura zao za zamani nasahau

Nasahau

Maana nikisikia kuhusu upendo

Nakuwaza wewe tu mahabuba

Na nikitakaga upendo

Nawaza lako tu huba

Na tukikwenda kwenye tendo

Unanifikishaga mpaka Cuba

Unakabaga uachi pengo

Si unajua

Moyo wangu kwako umekaa ka ka oweo

Kila ukidunda Paa paaa oweo

We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo

Waniwezaga

You dey make me sing

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby Aaahh

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby you dey make me sing

Aaaah Aaaah Aaaaah

Baby Aaahh

Aaaah Aaaah Aaaaah

Ona naimba

Baby you dey make me sing
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

Deixe um comentário

O seu endereço de e-mail não será publicado. Campos obrigatórios são marcados com *