Lyrics Anjella – Sina Bahati

Anjella

Mmmmh… mmh oh yeah yeah yeah yeah

Mbio za sakafuni huishia ukingoni sikujua
We nenda salama mi najiuguza
Wameshakurubuni fadhila zangu huzioni natambua
Siwezi kung’ang’ana ushanipunguza

Hee ninajihisi bahati sina
Sahau yote ya jana
Bora ungesema mapema kama kuna kosa nilokutendea
Uliniahidi utanilindia heshima, hutaifanya danga
Kumbe hata yale maneno mazuri uliyosema uliongopea

Ooh Baba! Kumbe siri ya mtungi aijuaye kata
Ooh Baba! Moyo umeumbwa kupenda mwingine nitapata
Ooh Baba! Yakiisha mavumbi mafua yatakata
Ooh Baba! Na ukweli haufungwi kwenye penzi la balaa

Sina bahati, sina bahati
Sina bahati, sina bahati
Nilishajaribu kufosi hadi kupiga ndele (Sina bahati)
Ila bado nimikosi acha niende mbele

Eh sishindani na upepo kwa mbio
Limenikosa sikio
Mie kichwa nijigeuze kalio
Bure nitajiumia

Mizani haipimi kulia
Shetani amеlibamia
Siku hizi anajiita fagio
Anawamaliza eeh

Mwili wema wangu umeniponza
Ni mifupa nono kulifyonza
Umeniacha njia panda mi naoza
Bila huruma

Masikini moyo umеnichonza
Jahazi lazama ye nahodha
Mateso kila likichomoza
I wish siku zirudi nyuma

Ooh Baba! Kumbe siri ya mtungi aijuaye kata
Ooh Baba! Moyo umeumbwa kupenda mwingine nitapata
Ooh Baba! Yakiisha mavumbi mafua yatakata
Ooh Baba! Na ukweli haufungwi kwenye penzi la balaa

Sina bahati, sina bahati
Sina bahati, sina bahati
Nilishajaribu kufosi hadi kupiga ndele (Sina bahati)
Ila bado nimikosi acha niende mbele
Lyrics, Letras, Paroles, Deutsche, Letras, Testi,Тексты, Texty, Norske, Текстови, Versuri, Persian, Liricí, Lirik, Nederlandse, Tagalog

Anjella ft. Harmonize – Toroka

Toroka – Anjella, Harmonize Lyrics Letra:
Iyeleleleleleleleee, Anjella
Nasema party halinogi bila pisi kali
Mi siwezagi kucheza bila kunywa vikali
Kama umekuja na danga lako liweke mbali
Shoga usije kuninunia mi nina nyota kali
Meza yenye pombe nyingi mi ndo nakaaa 
Na kama huna pesa nikwepe usije ukaumbukaa
Pembeni kuwe na shisha shisha simu kuzipandisha ndisha
Nakushusha nakupandisha ndisha 
Unavyojidharilisha Lisha mi na wanangu

Tunatoroka tunatoro
Tukishalewa
Tunatoroka tunatoro
Hilo kojo limekuganda
Tunatoroka tunatoro
Stimu zishakupanda
Tunatoroka tunatoro
Anjella

Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah 
(Yaw yaw)
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah  yeah

(Harmonize)
Wapo kama sita kila mmoja ana kreti
Usije ukawaita kama hauna bajeti
Utasema cardB alivyojidabika mapoda 
Hata maji halipiii waiter muongeze na soda 
Oya we sikia demu akipenda penda sana 
Bia we changanya na kiroba 
Asubuhi atakuta ameshafii….
Kishwa kwao na tayari yuko sobaa
Tunatoroka tunatoro
Tukishalewa
Tunatoroka tunatoro
Hilo kojo limekuganda
Tunatoroka tunatoro
Stim zishakupanda
Tunatoroka tunatoro
Anjella

Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah  yeah

Anjella ft. Harmonize – Toroka